Pre GE2025 Godbless Lema aulizia namna mtu aliyetekwa anavyoweza kumthibitishia Jaji kwamba ni kweli katekwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Nabii wa Mungu Godbless Lema amehoji namna ambayo Mtu aliyetekwa anavyoweza kukurupuka kutoka mikononi mwa Watekaji ili kuja Mahakamani kumthibitishia Jaji wa Mahakama ya Tanzania kwamba ni kweli katekwa, ili Jaji huyo awaamuru Watekaji wamuachie.

Hoja hii kabambe ya Nabii huyo wa Mungu, imekuja baada ya Mtukufu Jaji kupiga danadana ya Ulimi kuhusu kutekwa na kupotezwa kwa Soka na Wenzake

Your browser is not able to display this video.

Pia soma:
- Kuelekea 2025 - Hivi ni kwanini wengi wanaotekwa na kupotezwa ni raia wa vyama vya siasa pinzani?
 
nabii mnyang'anyi alie okoka ana hadaa wananchi kwa ramli 🐒
 
Arudishe magari ya wizi kwanza ndo ajiite nabii
 
Ni hoja, tatizo imekutana na wabeba lawama.
 
Mbona hajamtabiria Mama kama alivyomtabiria Magufuli kuwa atakufa.
Eti alijifanya kuambiwa na Mungu JPM atakufa wakati alikuwa amedokezwa na watu JPM ana tatizo la ugonjwa wa moyo.
 
Arudishe magari ya wizi kwanza ndo ajiite nabii
Upunguani siyo sifa. Wewe mahali pako sahihi ni Milemve hospital siyo JF. Hapa ni kwaajili ya walio wazima wa akili.

Lema hajawahi kuhusishwa na wizi wa aina yoyote ile. Na laiti angekuwa na uhalifu, CCM chama kinachowabambikia kesi wapinzani kisingemwacha mtu mwenye tuhuma mtaani. Yaani wakatafute kesi za kumbakia mtu wakati kuna tuhuma halisi? Kuna vitu ukiwrka tu JF, unadhihirika ama ulivyo hayawani au mgonjwa wa akili kama unavyojidhihirisha hapa. Kwa sababu hujawahi kumiliki hata bajaji, unadhani gari linaibiwa kama mtu anavyoweza kuiba ubwabwa wa mama nitilie.
 
Wewe endelea kujizima data
 
Lema amechanganyikiwa.
Namshauri aende zake Ontario tu,mbona anahoja muflisi kiasi hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…