Pre GE2025 Godbless Lema aulizia namna mtu aliyetekwa anavyoweza kumthibitishia Jaji kwamba ni kweli katekwa

Pre GE2025 Godbless Lema aulizia namna mtu aliyetekwa anavyoweza kumthibitishia Jaji kwamba ni kweli katekwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lema anaongea UKWELI MCHUNGU.....huwezi kula sadaka ukakaa kimyaa linapokuja jambo Muhimu anayekuletea sadaka Katekwa au kauwawa uka kaa kimyaa....Kunasiku wanaokuletea sadaka watakatwa MIKONO.....utakula wapi?
 
Hakika
 
Sio Taasisi zote zilizokaa kimya kuna baadhi zimekemea.
 
Nabii wa Mungu Godbless Lema amehoji namna ambayo Mtu aliyetekwa anavyoweza kukurupuka kutoka mikononi mwa Watekaji ili kuja Mahakamani kumthibitishia Jaji wa Mahakama ya Tanzania kwamba ni kweli katekwa, ili Jaji huyo awaamuru Watekaji wamuachie.

Hoja hii kabambe ya Nabii huyo wa Mungu, imekuja baada ya Mtukufu Jaji kupiga danadana ya Ulimi kuhusu kutekwa na kupotezwa kwa Soka na Wenzake

Pia soma:
- Kuelekea 2025 - Hivi ni kwanini wengi wanaotekwa na kupotezwa ni raia wa vyama vya siasa pinzani?
Hivi unafanyaje kupata unabii?
Yaani sifa za kuwa Nabii zikoje ati!
Na nani huyo anayewapa watu unabii/Utume!?
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Hoja nzito ya kisomi zaidi...

Inahitaji mawanda ya KISHERIA haswa....

Ukija kichwakichwa tu utakuwa miongoni mwa "mazombie" [emoji1787]

Taifa linakua na zinahitajika fikra zenye KUKUA [emoji7]

#Nchi Kwanza[emoji7]
#Milele JMT[emoji7]
 
Je hakuonywa na Je baada ya kukaidi hakufa?
JPM olikuwa mgonjwa wa moyo tangu miaka hiyo ya 80, kabla hata hajaenda masomoni Uingereza.

Kifo chake kilipangwa na Mungu, msimpe sifa za kijinga huyu mvuta bangi Lema, hana nguvu hizo za kinabii.

JPM hakuwahi kupanda ndege na kuvuka nje ya afrika kwa sababu moyo wake ulikuwa ni mbovu. Bahati mbaya kazi ya urais ina presha nyingi na huleta mawazo ya kila aina hivyo kufa ni rahisi.
 
Unabii ni karama kutoka kwa Mungu Mwenyewe
So Unabii ni kitu mtu yeyote anaweza akajitangazia tu au kikundi flani cha watu kinaweza kumpa unabii mtu wanayemtaka. Ila bado sijajua vigezo vya kumpachika mtu unabii/utume
 
So Unabii ni kitu mtu yeyote anaweza akajitangazia tu au kikundi flani cha watu kinaweza kumpa unabii mtu wanayemtaka. Ila bado sijajua vigezo vya kumpachika mtu unabii/utume
Jitangaze na wewe
 
Back
Top Bottom