Pre GE2025 Godbless Lema aulizia namna mtu aliyetekwa anavyoweza kumthibitishia Jaji kwamba ni kweli katekwa

Pre GE2025 Godbless Lema aulizia namna mtu aliyetekwa anavyoweza kumthibitishia Jaji kwamba ni kweli katekwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
JPM olikuwa mgonjwa wa moyo tangu miaka hiyo ya 80, kabla hata hajaenda masomoni Uingereza.

Kifo chake kilipangwa na Mungu, msimpe sifa za kijinga huyu mvuta bangi Lema, hana nguvu hizo za kinabii.

JPM hakuwahi kupanda ndege na kuvuka nje ya afrika kwa sababu moyo wake ulikuwa ni mbovu. Bahati mbaya kazi ya urais ina presha nyingi na huleta mawazo ya kila aina hivyo kufa ni rahisi.
Endelea kupiga porojo
 
Nabii wa Mungu Godbless Lema amehoji namna ambayo Mtu aliyetekwa anavyoweza kukurupuka kutoka mikononi mwa Watekaji ili kuja Mahakamani kumthibitishia Jaji wa Mahakama ya Tanzania kwamba ni kweli katekwa, ili Jaji huyo awaamuru Watekaji wamuachie.

Hoja hii kabambe ya Nabii huyo wa Mungu, imekuja baada ya Mtukufu Jaji kupiga danadana ya Ulimi kuhusu kutekwa na kupotezwa kwa Soka na Wenzake

Pia soma:
- Kuelekea 2025 - Hivi ni kwanini wengi wanaotekwa na kupotezwa ni raia wa vyama vya siasa pinzani?
Technically speaking

Can you confirm mtu katekwa just by his or her disappearance?
 
Malori yq akina nani peleka ushahidi polisi embu maana wana usongo na cdm kwanza by the way alitaka lisu afe alitangulia yeye jehanam
ushahidi anao mnyang"anyi mwenyewe nabii anayetamani nafasi ya yesu :pedroP:
 
Hayo ni majungu na fitna kwa Nabii lema mtumishi wa Mungu na wazandiki wote mnaomsemea uongo mtatangulia jehanam kama mwendazake/mwemdakuzimu
ushahidi anao mnyang"anyi mwenyewe nabii anayetamani nafasi ya yesu :pedroP:o
 
relax tu ukweli ndivyo ulivyo gentleman, mihemko haisaidii hata kidogo wala haifuti unyang"anyi wa malori kwa huyo muungwana anajiita nabii kumbe mnyang'anyi anaetamani kumpindua yesu ili yeye akamate kiti 🐒
Hayo ni majungu na fitna kwa Nabii lema mtumishi wa Mungu na wazandiki wote mnaomsemea uongo mtatangulia jehanam kama mwendazake/mwemdakuzimu
 
relax tu ukweli ndivyo ulivyo gentleman, mihemko haisaidii hata kidogo wala haifuti unyang"anyi wa malori kwa huyo muungwana anajiita nabii kumbe mnyang'anyi anaetamani kumpindua yesu ili yeye akamate kiti 🐒
Haha 😄 🤣 😂 😆 😄 lori linanyang'anywa vipi ndio maana naamini sisiemu mmejaa misukule
 
Mnashabikia na kufurahia maisha na nafsi za watanzania wasio na hatia kupotea na kudhulumiwa. Watu ajabu sana.
imani potofu na ushirikina wako vikae nawe pekeyako kwa amani,

watanzania wanao mwamini Mungu wanasonga mbele bila mbambamba ya mtu yeyote 🐒
 
Haha 😄 🤣 😂 😆 😄 lori linanyang'anywa vipi ndio maana naamini sisiemu mmejaa misukule
mbinu za unyang'anyi anazijua yeye mwenywe huyo nabii uchwara wa arusha,

sasa sijui alikua anatumia jina la shetani kuvizia kunyang'anya na kupora malori ya watu ama laa ,

ni Muhimu akaulizwa yeye mwenywe 🐒
 
Nyie ndio hawa hawa mkuu wa wilaya longido nnaoshiriki mambo ya porini sio?
 
Back
Top Bottom