Pre GE2025 Godbless Lema aulizia namna mtu aliyetekwa anavyoweza kumthibitishia Jaji kwamba ni kweli katekwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Endelea kupiga porojo
 
Technically speaking

Can you confirm mtu katekwa just by his or her disappearance?
 
Malori yq akina nani peleka ushahidi polisi embu maana wana usongo na cdm kwanza by the way alitaka lisu afe alitangulia yeye jehanam
ushahidi anao mnyang"anyi mwenyewe nabii anayetamani nafasi ya yesu
 
Hayo ni majungu na fitna kwa Nabii lema mtumishi wa Mungu na wazandiki wote mnaomsemea uongo mtatangulia jehanam kama mwendazake/mwemdakuzimu
ushahidi anao mnyang"anyi mwenyewe nabii anayetamani nafasi ya yesu o
 
relax tu ukweli ndivyo ulivyo gentleman, mihemko haisaidii hata kidogo wala haifuti unyang"anyi wa malori kwa huyo muungwana anajiita nabii kumbe mnyang'anyi anaetamani kumpindua yesu ili yeye akamate kiti πŸ’
Hayo ni majungu na fitna kwa Nabii lema mtumishi wa Mungu na wazandiki wote mnaomsemea uongo mtatangulia jehanam kama mwendazake/mwemdakuzimu
 
relax tu ukweli ndivyo ulivyo gentleman, mihemko haisaidii hata kidogo wala haifuti unyang"anyi wa malori kwa huyo muungwana anajiita nabii kumbe mnyang'anyi anaetamani kumpindua yesu ili yeye akamate kiti πŸ’
Haha πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜„ lori linanyang'anywa vipi ndio maana naamini sisiemu mmejaa misukule
 
Mnashabikia na kufurahia maisha na nafsi za watanzania wasio na hatia kupotea na kudhulumiwa. Watu ajabu sana.
imani potofu na ushirikina wako vikae nawe pekeyako kwa amani,

watanzania wanao mwamini Mungu wanasonga mbele bila mbambamba ya mtu yeyote πŸ’
 
Haha πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜„ lori linanyang'anywa vipi ndio maana naamini sisiemu mmejaa misukule
mbinu za unyang'anyi anazijua yeye mwenywe huyo nabii uchwara wa arusha,

sasa sijui alikua anatumia jina la shetani kuvizia kunyang'anya na kupora malori ya watu ama laa ,

ni Muhimu akaulizwa yeye mwenywe πŸ’
 
Nyie ndio hawa hawa mkuu wa wilaya longido nnaoshiriki mambo ya porini sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…