Uchaguzi 2020 Godbless Lema azindua kampeni kwa Kishindo, uwanja watapika, Wananchi wajazana kupita uwezo wa eneo husika

Uchaguzi 2020 Godbless Lema azindua kampeni kwa Kishindo, uwanja watapika, Wananchi wajazana kupita uwezo wa eneo husika

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Mbunge wa milele wa jimbo la Arusha Mjini Mh Godbless Lema, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA leo amezindua rasmi kampeni zake za kuomba ubunge kwa mara nyingine tena na kusababisha mafuriko makubwa ya wananchi kiasi cha kusababisha tetemeko .

Hali ilikuwa kama hivi mnavyoona.

Subpost 1 - Mkutano wa Mheshimiwa @godblesslemaj1 ARUSHA muda huu.   - SasaBasi -  ( 799 X 640 ).jpg

Subpost 1 - Mkutano wa Mheshimiwa @godblesslemaj1 ARUSHA muda huu.   - SasaBasi -  ( 799 X 640 ).jpg
Subpost 4 - Mhe. Godbless Lema akiwasha Moto maeneo ya jiji la Arusha.  - SasaBas ( 426 X 640 ).jpg
Subpost 3 - Mhe. Godbless Lema akiwasha Moto maeneo ya jiji la Arusha.  - SasaBas ( 426 X 640 ).jpg
Subpost 2 - Mhe. Godbless Lema akiwasha Moto maeneo ya jiji la Arusha.  - SasaBas ( 426 X 640 ).jpg
Subpost 1 - Mhe. Godbless Lema akiwasha Moto maeneo ya jiji la Arusha.  - SasaBas ( 426 X 640 ).jpg

Kuna haja sasa ya mikutano ya watu maarufu sana kama huyu Lema kuwa na Viingilio ili kuepusha mauaji, hakuna maigizo wala matamasha ya muziki lakini hali ndio hii!
 
Chadema mpaka Sasa imeshashinda Majimbo kumi na tano.

Bukoba Mjini, Bunda, Nyamagana, Ukerewe, Tarime Mjini, Vijijini, Arusha, Karatu, Mbeya,Hai, Moshi Mjini, Moshi Vijijini, Geita Mjini na Iringa Mjini.
 
Back
Top Bottom