Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Naomba nikumbushe ni nchi gani chama cha upinzani kiliwahi shika dola?Kwa sasa tunatakiwa kujiuliza ni namna gani ya kuwakabili CCM watupe nchi na si kujiuliza kama tutashinda huu uchaguzi.
πππ
Mungu aubariki utabiri wako mkuuChadema mpaka Sasa imeshashinda Majimbo kumi na tano.
Bukoba Mjini, Bunda, Nyamagana, Ukerewe, Tarime Mjini, Vijijini, Arusha, Karatu, Mbeya,Hai, Moshi Mjini, Moshi Vijijini, Geita Mjini na Iringa Mjini.
Malawi, kule Africa magharibi kwa yule jamaa aliyefurushwa na majeshi ya Ecowas, Zambia etc.Naomba nikumbushe ni nchi gani chama cha upinzani kiliwahi shika dola?
Hivi ni Zuchu au Chuchu? in Magu's voice.
Hofu yako nini?Mbona hii picha kama naitilia shaka, nikama imepitia maabara na kukutana na wakemia