Godbless Lema: Bora ya Magufuli kuliko Samia

Lema ni wa kupuuzwa, huwezi kumfananisha shetani na mama Samia, mama ni far better kuliko yule Mrundi.
Simkubali Samia,lakini napenda unavyompigania bila sababu, japo hujafikia level ya uchawa
 
siku hizi ukitaka kurudi nyumbani inabidi umpigie mstaafu?
Lema hawezi kurudi sasa hivi kwa sababu hana cha kufanya ana madeni makubwa ambayo hayaliipiki , kurudia ile kazi yake ya zamani aliyokuwa anatuhumiwa hawezi kwa mazingira ya sasa; watoto wake wanasoma bure na yeye analipwa allowance kila mwezi ambayo ni kubwa na inamuwezesha kuishi vizuri zaidi.

Uchaguzi ukikaribia mwaka 2025 mwanzoni atarudi ikiwa chama chake kitashiriki uchaguzi ili kujatibu bahati yake ya ubunge lakini atarudi peke yake.
 
Sahihi kabisa. Mimi mwenyewe nilijua saa100 angeweza kuwa Bora. Lakini kwa yanayoendelea hapa nchini kwa sasa ni bora mara 1000 Magufuli kuliko huyu mtu
 
walikuwa hawamfahamu vizuri Hangaya ngoja awape za mfulilizo a.k.a combination
 
Hana nia ya kurudia huyo. Anaona akirudi na matunzo kwishney.
Panatengenezwa uhalali wa kutokurudi ili aendelee kupetiwa petiwa na mabeberu yeye na familia yake.
Kazi yake huyo jamaa ni siasa na siasa alisemaga Mwalimu mahala pake ni mabarabarani na majukwaani !! Muda bado haujafika nadhani !!
 
Mwana falsafa wa Uingereza alisemaga ukitaka kuwa na furaha ya kudumu maishani usiweke mategemeo yako sana kwa mtu mwingine !!
 
Hapa umepuyanga lema

Sent from my Nokia C10 using JamiiForums mobile app
 
Dah hakika Lema ni kiumbe siyo binaadam. Huyu si ndiye yule aliyeleta msemo wa Mama anaupiga mwingi??????? Atulie kabisa asituchanganye. Sisi watanzania tunasema Rais wa sasa ni Samia na tunampenda mno
Kitendo Cha chadema kushangilia kifo Cha magufuli niliwachukia Hadi HV sas

Lema anyamaze tu kwa kweli acha apokee ukuni wake huko Canada
 
Tumsameheni, amepoteza kukumbukumbu kwa haraka sana, Utawala wa Jiwe ni habari nyengine kabisa.
 
Kitendo Cha chadema kushangilia kifo Cha magufuli niliwachukia Hadi HV sas

Lema anyamaze tu kwa kweli acha apokee ukuni wake huko Canada
Sure yaani ktk kitu ambacho hawa kikundi cha wahuni waliharibu ni kufanya sherehe ya kifo cha Dkt Magufuli.
 
watu wanafikiria namna ya kutoka wewe unataka Kurudi? wewe si Ulichagua kuwa Mkimbizi? mnalianzisha watu wanaunga mkono juhudi alafu Mnawakimbia.
 
Hii ni mada ya kutaka attention tu. Huwezi kumfaninisha yule Jahili, muuaji na huyu mama mpenda amani, mcha Mungu na mkweli.

Tatizo akina Lema na wenzao wali my underate sana kuona kuwa watamuendesha kwa kauli zao za kwenye mitandao ya jamii.

Endelea kuosha matako ya wazungu huko uliko Mr Godbless Lema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…