Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Serious bussnessJamaa wapo serious sn
Serious bussnessJamaa wapo serious sn
Mkuu acha maneno mengi. Jibu rahisi ni Tumr huru ya uchaguzi.Wanasiasa wakiafrika wana ndimi mbili mbili.Ndo maana ata wao wenyewe chadema hiyo agenda yao wao wenyewe wanashindwa kuielezea kwakina wakaeleweka..Wataparurana hadi wakome na mwisho wa siku hakuna kitakachokua kimebadilika.Watanzania wengi wanahitaji mabadiliko ila sio mabadiliko yakupambania ajira ya mtu kwakiwango cha maandamano.
hapo unachagua upande wa no reform no elections au upande wa maandamano ya amani mama Ima?Jamaa wapo serious sn
Ni maandamano yapi walishaitidha yakafanikiwa? Labda tuanzie hapo.Godbless Lema: Kama hakuna Mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi, Sio tutasusa Uchaguzi bali tutaongoza watu Nchi nzina kuingia barabarani kufanya maandamano ya amani.
Hao watu watakaoingia barabarani wataweza kuzuia Uchaguzi usifanyike.
Hatuwezi tena kuvumilia Uchaguzi wa kipumbavu na kihuni, Mnapiga kura lakini kura zenu haziamui Kiongozi.
View attachment 3293593
Lema kaacha familia yake nje,anataka kuja kuandamanisha akina naniWanasiasa wakiafrika wana ndimi mbili mbili.Ndo maana ata wao wenyewe chadema hiyo agenda yao wao wenyewe wanashindwa kuielezea kwakina wakaeleweka..Wataparurana hadi wakome na mwisho wa siku hakuna kitakachokua kimebadilika.Watanzania wengi wanahitaji mabadiliko ila sio mabadiliko yakupambania ajira ya mtu kwakiwango cha maandamano.
NASHAURI CHADEMA WATAFUTE WASANII WACHEKESHAJI WATAKAOTENGENEZA KICHEKESHO AMBACHO KITAONYESHA UBOVU WA MFUMO WA UCHAGUZI. WAKIWEKE KWENYE YOUTUBEGodbless Lema: Kama hakuna Mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi, Sio tutasusa Uchaguzi bali tutaongoza watu Nchi nzina kuingia barabarani kufanya maandamano ya amani.
Hao watu watakaoingia barabarani wataweza kuzuia Uchaguzi usifanyike.
Hatuwezi tena kuvumilia Uchaguzi wa kipumbavu na kihuni, Mnapiga kura lakini kura zenu haziamui Kiongozi.
View attachment 3293593
Katika mambo uliyo andika toka huko juu, kuna machache ya kufikiria; lakini unapojionyesha kuwa na kiwango cha chini kabisa kama hili ulilo andika kwenye mstari huo, ni wazi wewe bado unaishi katika enzi za ukoloni.kumfikia Rais awaelewe na atoe kauli kwa vyombo vyake vya dola vitende haki kwenye uchaguzi
Huu mkakati mnawachanganya watu wenu HATUTASUSA uchaguzi. Eti mtaandamana, not possible.Hakika mtakosa vyote maana maandamano mtadhibitiwa vibaya mno na serikali hata chembe hayatafanyika. Na wabunge mtakosa iwapo hawatagombea na chama hakitatimiza malengo yake ya kisiasa. Nashauri mzunguke nchi nzima kuwelemisha wananchi kwa hatua endelevu ila Gombeeni majimboni na kata. Yako matatizo ya uchaguzi ya kimaadili, utovu wa nidhamu watu binafsi, na makusudi. Haya yanahitaji kukabiliwa papo kwa papo uwanjani na ingekuwa nzuri zaidi kumfikia Rais awaelewe na atoe kauli kwa vyombo vyake vya dola vitende haki kwenye uchaguzi. Hili halihitaji mabadiliko ya sheria na mifumo on long term. Lissu rudini mezani na mtafakari kwa kina na umakini mkubwa,vinginevyo mtajuta. Nchimbi anasema wacheni Chadema wasusie uchaguzi ni haki yao ana maana yake. Hapa be clear kuzuia uchaguzi,kususia na kutoshiriki. Hapa naona kususia na kuzuia uchaguzi ni kitu kilekile ingawaje mnatenganisha.Tafsiri zake zimekaaje. Kwangu mimi dhana ingekuwa kuzuia mchakato na matokeo ya upendeleo kwa kila jimbo. Hili litafanyikaje ni juu ya wapiga kura wataamua na hususani kwa elimu mliyowapa hawatakubali. Muhimu shirikini uchaguzi kwa kugombea.
Kwani TEC ndio wanamaamuzi hapa TZ? Kwenye issue ya Bandari si walitoa waraka na ukawa unasomwa kila wiki makanisani kwa mwezi mzima, ilisaidia nini? Watz siyo wajinga hivyo!Safi sana Lema na CHADEMA.
Sasa tunawaomba tu rasmi TEC watoe tamko kuunga mkono maandamano ya Amani kudai Reforms za Katiba na Sheria za Uchaguzi.
Mngekuwa mmeji organize vizuri, uchaguzi huu ndio ilikuwa wakati wenu,maana mgombea wao mweupe kama karatasi.
Mkuu wakitoa waraka Wananchi wao Wasiende kwenye Kupiga kura, Jua kutakua na watu wacheche kwenye Vituo vya kupigia kuraKwani TEC ndio wanamaamuzi hapa TZ? Kwenye issue ya Bandari si walitoa waraka na ukawa unasomwa kila wiki makanisani kwa mwezi mzima, ilisaidia nini? Watz siyo wajinga hivyo!
Waraka huwa wanatoa kila mara hakuna anayezingatia hata mimi ni RC lakini simfuati Askofu kwenye maamuzi yangu. Mimi siyo Nyumbu.Mkuu wakitoa waraka Wananchi wao Wasiende kwenye Kupiga kura, Jua kutakua na watu wacheche kwenye Vituo vya kupigia kura
Huu mkakati mnawachanganya watu wenu HATUTASUSA uchaguzi. Eti mtaandamana, not possible.Hakika mtakosa vyote maana maandamano mtadhibitiwa vibaya mno na serikali hata chembe hayatafanyika. Na wabunge mtakosa iwapo hawatagombea na chama hakitatimiza malengo yake ya kisiasa. Nashauri mzunguke nchi nzima kuwelemisha wananchi kwa hatua endelevu ila Gombeeni majimboni na kata. Yako matatizo ya uchaguzi ya kimaadili, utovu wa nidhamu watu binafsi, na makusudi. Haya yanahitaji kukabiliwa papo kwa papo uwanjani na ingekuwa nzuri zaidi kumfikia Rais awaelewe na atoe kauli kwa vyombo vyake vya dola vitende haki kwenye uchaguzi. Hili halihitaji mabadiliko ya sheria na mifumo on long term. Lissu rudini mezani na mtafakari kwa kina na umakini mkubwa,vinginevyo mtajuta. Nchimbi anasema wacheni Chadema wasusie uchaguzi ni haki yao ana maana yake. Hapa be clear kuzuia uchaguzi,kususia na kutoshiriki. Hapa naona kususia na kuzuia uchaguzi ni kitu kilekile ingawaje mnatenganisha.Tafsiri zake zimekaaje. Kwangu mimi dhana ingekuwa kuzuia mchakato na matokeo ya upendeleo kwa kila jimbo. Hili litafanyikaje ni juu ya wapiga kura wataamua na hususani kwa elimu mliyowapa hawatakubali. Muhimu shirikini uchaguzi kwa kugombea.
Njia ipi iliwahi kuleta positive results na liniAfu hii njia ya kuandamana haijwai leta positive results ndani ya hii nchi. Sijui kwa nn wanaipenda!!??