Hapa ni mange ndio anahamasisha ! Nachoka mimiGodbless Lema: Kama hakuna Mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi, Sio tutasusa Uchaguzi bali tutaongoza watu Nchi nzina kuingia barabarani kufanya maandamano ya amani.
Hao watu watakaoingia barabarani wataweza kuzuia Uchaguzi usifanyike.
Hatuwezi tena kuvumilia Uchaguzi wa kipumbavu na kihuni, Mnapiga kura lakini kura zenu haziamui Kiongozi.
View attachment 3293593