Godbless Lema fungua Kesi ya kudai Fidia, kuna Bilioni 3 za wazi

kidonto

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2014
Posts
2,322
Reaction score
3,604
Kuna Video ya kutengeneza nimeiona Facebook, Watu wenye Nia mbaya wamechukua Video clip Yako, na kuunganisha Sauti zako Toka kwenye matukio tofauti.

Video Ile Ina nembo ya Jambo tv, na Kuna page imepost Facebook inakwenda Kwa jina la Macdee Mackeja Shilinde.

Nadhani utakua umeiona
Wafungulie Mashtaka Hawa, na wataeleza hizo Video nani alitengeneza.

Inasemaje mkuu!
 
KWENYE MAHAKAMA ZIPI? ZA JUMA? JAJI WA WAPI? WA JUMA? KWA SO CALLED JAJI HAMIDU MWANGA?
 
akienda kwenye kesi mahakamani na yeye anakamatwa hukohuko maana ni mhalifu nyambafuuuuuuuuuu
 
Kuna Video ya kutengeneza nimeiona Facebook, Watu wenye Nia mbaya wamechukua Video clip Yako, na kuunganisha Sauti zako Toka kwenye matukio tofauti.

Video Ile Ina nembo ya Jambo tv, na Kuna page imepost Facebook inakwenda Kwa jina la Macdee Mackeja Shilinde.

Nadhani utakua umeiona
Wafungulie Mashtaka Hawa, na wataeleza hizo Video nani alitengeneza.

anamshitaki nani sasa? Jambo? Of course unaweza ku trace nani aliyeituma, lkn so what? kwa mahakama zipi?
 
Back
Top Bottom