PostGE2025 Godbless Lema: Hotuba ya Madam Samia imekuwa nzuri kwa sababu imebeba ishara za msaada wa Mwenyezi Mungu juu ya Nchi

PostGE2025 Godbless Lema: Hotuba ya Madam Samia imekuwa nzuri kwa sababu imebeba ishara za msaada wa Mwenyezi Mungu juu ya Nchi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hotuba ya Madam Samia imekuwa nzuri kwa sababu imebeba ishara za msaada wa Mwenyezi Mungu juu ya Nchi.

Kama Mungu alivyofanya wakati akiwatoa Waisraeli Misri alipouacha moyo wa Farao uwe mgumu ili ajitukuze mbele ya watu wake, vivyo hivyo utukufu wa Mungu umeonekana Tanzania, tunahitaji mambo magumu ili kuthibitisha alama za nyakati na tujue tulikuwa na yeye ktk safari ya haki.

Ninaiona kesho iliyo bora, yenye heshima na utukufu wa Mungu, maana dalili zote tayari zimekamilika.

Basi tusifikiri mabaya juu ya mtu yeyote bali tuendelee kutafakari haki na wala tusichoke kutenda wema maana tutavuna pasipo kutarajia.

Mtamshangaa sana Mwenyezi Mungu. Mimi, ingawa ni mdhaifu na sina uadilifu mbele zake, lakini ninautambua uwezo wake usio na kifani.

Leo imekuwa siku ya ishara kubwa. Jipeni Moyo Mkuu. Tutavuka salama. Msizimie Moyo.
Lema hawezi kuandika ujinga kama huu!
 
Dr wa Manesi huo ushoga wa Sumuya kufirwa ni wa kweli na inajulikana wanaomfira. Kwa ufupi hana marinda ndiyo maana kiti chake huwa kina kitu maalumu cha kuegamia kwa sababu mgogo ulishachoka kwa sababu ya kufirwa. Hili bosi wangu halihusiani na udini. Mimi ni Muislam kama wewe. Sisi watu wa Bara hatujawahi tofautishwa na dini kwa sababu unaweza kuta mjomba katoliki na babu muislam. Mfano mimi Babu yangu Alikuwa Shekhe na baadhi ya Mama zangu wadogo ni Wakatoliki wengine wameokoka. So sahau huo udini kuuleta bara
Duh!
 
Pale mwizi wa magari anapoitwa "nabii".Huyo angeshakimbia zake Canada lakini hana Passport.Ilichukuliwa na Uhamiaji.Huwezi kuwa mkimbizi na ukawa na Passport ya Nchi uliyoikimbia ulipoomba hifadhi.
 
Back
Top Bottom