Godbless Lema: I won't return to persecution paradise

Zamani sana tulikuwa tunasikia hizi simulizi kutokea Rwanda na Burundi sijui Banyamulenge..sikuwahi kufikiria kama tutaziishi. hatimaye
Wangeshinda ubunge usingekuja na huu utopolo. Serikali ina shida gani nao? Hizi njama za Wana saccos kujiuza wale bure huko UNHCR.
 
Safi saanaa GODBLESS
 
Usinifungulie mlango wa ban kwasababu neno 'ke' umeliona kwenye jibu nililokupa
Sijui ulimaanisha nini. Mimi ni ke..au sijui ulimaanisha Kenya? Utajua wewe.
Na wewe muoga kama Lema [emoji3][emoji3] unaogopa ban..poromosha tu matusi utoe nyongo uliyonayo isije kukukaba bure ukiwa usingizini, fuata moyo wako.
 
Ni wazi wakina Lema hamzitumii elimu zenu vizuri.
 
Daah! Aisee kama isingekuwepo jamii forum haya mambo nisinge yajua....maana vyombo vya habari vyote vinaogopa.Inasikitisha na inauma sana.
 
Lema aache cheap politics,arudi nyumbani kumenoga. Kushindwa uchaguzi Sio kushindwa maisha. After all umri wake unaruhusu kurusha karata tena na tena na tena kwenye siasa. Arudi haki aitafute akiwa nyumbani
Haki mbele ya kifo?
 
Lema aache cheap politics,arudi nyumbani kumenoga. Kushindwa uchaguzi Sio kushindwa maisha. After all umri wake unaruhusu kurusha karata tena na tena na tena kwenye siasa. Arudi haki aitafute akiwa nyumbani
every human has its own decision lets respects it
 
Nasikitika sana kuona Tanzania tumeshaanza kuzalisha wakimbizi wa kisiasa kama Rwanda miaka mitano iliyopita tulikua tuna siasa hizihizi za chadema na ccm lakini hakukua na mambo yakupigana risasi wala kutekana...Je wananchi wako wakiwa wanakimbia nchipamoja na watoto wao na wewe ndio rais wa nchi hiyo unajiskiaje?
Mimi kwa upande wangu naona tunarudi nyuma kama nchi na hatuwi sifa njema kwenye mataifa mengine.
 
Leo mazeti ya Kenya ndio imekuwa lulu?
Huyo Lema akubali kapogwa sana Arusha ndio maana kataguta kiki ya kuondokea
 
Huyu huenda akarudishwa TZ kujibu tuhuma zinazomkabili...
 
Lema ameshapewa hifadhi ya kisiasa Kenya. Hili ni pigo kwa mhutu na jeshi lake la polisi. Bravo Lema.
 
Aende sisi hapa Arusha maisha ni kama kawa!
Heri yake amekimbia huu utawala dhalimu. Namshauri Mbowe, Heche, Wanje, Mdee, Bulaya, Sugu, Mwakajoka, Matiko, Catherine na Zito nao wale kona fasta. Haiwezekana u
Kila siku aambiwe aripoti police bila kuwa na kosa lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…