Godbless Lema: I won't return to persecution paradise

Godbless Lema: I won't return to persecution paradise

Heri yake amekimbia huu utawala dhalimu. Namshauri Mbowe, Heche, Wanje, Mdee, Bulaya, Sugu, Mwakajoka, Matiko, Catherine na Zito nao wale kona fasta. Haiwezekana u
Kila siku aambiwe aripoti police bila kuwa na kosa lolote
Na wewe vipi unalipoti lini?
 
Anaona aibu ya kushindwa!!! Hasa baada ya chama chake kupitia wafuasi wao kuwadhalilisha watanzania waishio jimbo la Arusha kwa kusema eti hata Chadema ikiweka jiwe vyama vingine vikaweka watu kwenye uchaguzi lazima chadema ishinde! Watanzania wanajua wanachokifanya hasa wakiwa na jambo lao.
 
Kama ni hiyo video imekupa jazba kiasi hicho basi Shetani mkuu ni wewe usiyetaka maendeleo ya watu wala amani, unaetafuta chokochoko kila kuchapo
Hizo fedha za hicho kisima katoa wapi maana bado sio mbunge hajaapishwa au wanaccm wenzangu kuna mfuko mwingine tunautumia?
 
Lema kakimbia aibu, nimekumbuka yaliyotokea Jan 2001 kule visiwani
 
Jambo linalosikitisha Zaidi ni kuw wala JIWE hakuwa na haja ya kufanya yote haya ili ashinde! Aisee, kuna watu wengine wameumbwa shetani katika umbile la binadamu!
 
Kuhusu kutafuta hifadhi kwa viongozi wa upinzani katika mataifa yanayoheshimu uhuru na haki ya kuishi.

Na Mwl, John Pambalu

Mwaka 2015 baada ya uchaguzi uliompa ushindi Mhe. Magufuli. Aliyekuwa Mkt wa Chadema mkoa wa Geita na mgombea ubunge Jimbo la Busanda marehemu Alphonce Mawazo. Alipokea taarifa za vitisho juu ya uhai wake, hakuamua kukimbia nchi akaendelea kubaki nchini, siku chache baadaye aliuawa kikatili mchana kweupe mita chache kutoka kituo cha polisi huku jimboni Busanda mkoani Geita.

Kiongozi mwingine wa Chadema na mkosoaji wa serikali ya awamu ya tano Ben Saanane alipokea taarifa za kutishia uhai wake. Hakuona sababu za kukimbia nchi akaendelea kubaki nchini. Siku chache baadaye alipotea na mpaka leo hakuna anayejua yuko wapi Ben Saanane.

Mwaka 2017 Mhe. Tundu Lissu alipokea vitisho juu ya uhai wake. Yeye alijaliwa kujua mpaka namba za gari za waliokuwa wakimfatilia. Lissu hakuona umuhimu wa kutafuta hifadhi. Siku chache baadaye alishambuliwa kwa risasi za moto kwenye nyumba za serikali zenye ulinzi full-time. Mpaka leo hata hao wanaodai nchi iko swali hawajawahi kusema ni wakina nani walimshambulia Lissu.

Nataka kusema nini?.

Wapinzani wanaotishiwa uhai wao kuamua kuondoka nchini kutafuta hifadhi ni hekima ya kimungu. Yusuph alimkimbiza Bethlehem mtoto Yesu kukwepa tishio la kupoteza uhai wa mtoto Yesu baada ya mfalme Herode kutangaza watoto wote wa kiume wauawe.

Mhe. Lissu na Lema ambao wameondoka nchini kutafuta hifadhi nje ya nchini wanastahili pongezi hata Yesu alipelekwa uhamishoni ili abaki salama.

Wasalaam
John Pambalu
Mkt Bavicha taifa
 
Lema aache cheap politics,arudi nyumbani kumenoga. Kushindwa uchaguzi Sio kushindwa maisha. After all umri wake unaruhusu kurusha karata tena na tena na tena kwenye siasa. Arudi haki aitafute akiwa nyumbani
stupid comment
 
Back
Top Bottom