johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Mmachame siyo kabilaAcha ukabila hapa tunajadili kama watanzania
Ni sawa na wewe tu Mrombo 😂
Mmachame siyo kabilaAcha ukabila hapa tunajadili kama watanzania
Lema sio mjumbe wa Kamati kuu hatambuliwi na msajili hawana haja ya kumsikiliza ushauri wake iwe Ayo wala Jambo Tv au yeyote
Huna akili wewe, machame na mrombo hawezi kusikilizanaMmachame siyo kabila
Ni sawa na wewe tu Mrombo 😂
Ukweli ni kwamba Millard Ayo anatumika tokea anaanza na kundi Fulani, na kamwe Millard Ayo hawezi kuliacha hilo kundi.Millard Ayo ametumia miaka mingi kujenga brand yake na amefika hapo alipo hapo kwa bidii zake.
Ikiwa Serikali inataka kumtumia itakuwa inafanya makosa wamuache Kijana awe independent
Kwa hiyo kuletwa kanisani na make ndio kaokoka?Alikuwa anakuja na mama yake Kanisani pale Sabasaba PTA hall Enzi zile akiwa mdogo kabisa 😄🙏
Kwahiyo Warombo nyie siyo wachaga?Huna akili wewe, machame na mrombo hawezi kusikilizana
Ukiona hujaelewa jua hujalengwa ww kusoma walio lengwa washaelewa ww mwenye uji akilin subri baadaepolepole kawaambukiza chawa wa lissu nao eti wanatumia CODE sasa hapo nani kamwelewaanazungumzia nini?
Sio waandishi tu, wasaniii, wafanya biashara wote wakubwa na vitengo vyote ni CCM.Nchimbi alishasema, waandish wa habari wengi ni ccm,..
Kwenye hili Mungu muweza atende miujiza lakini tusitegemee hao machawa watutetee.
Hivi hujui machame na wameru wanasikiliza vizuri kuliko na wachaga wengine? mrombo anasikiliza na mkikuyu vzrKwahiyo Warombo nyie siyo wachaga?