Godbless Lema, kama ni kweli Watumishi wanaodhibiti Wapinzani huteuliwa vyeo vikubwa mbona Makonda na Ole Sabaya hawajateuliwa?


Hoja yako ni ya kitoto. Kwanza huwezi kumteua mkuu wa mkoa au wilaya kuwa DCI au IGP. Pili Lema hajasema watumishi wote! kama kuna watumishi wadidmizaji 1000 na kazi 100 huwezi kuwapa wadidimizaji wote kazi.
 
Hoja yako ni ya kitoto. Kwanza huwezi kumteua mkuu wa mkoa au wilaya kuwa DCI au IGP. Pili Lema hajasema watumishi wote! kama kuna watumishi wadidmizaji 1000 na kazi 100 huwezi kuwapa wadidimizaji wote kazi.
Haya Lema alidhibitiwa na Gambo hadi akauchukuwa ubunge wake

Je, Mrisho ni Waziri?
 
Haya Lema alidhibitiwa na Gambo hadi akauchukuwa ubunge wake

Je, Mrisho ni Waziri?

..Mrisho Gambo, Alexander Mnyeti, ni baadhi ya waliopewa ubunge kama shukrani ya kunyanyasa wapinzani.

..Tatizo la Makonda huenda ni vikwazo alivyowekewa na WAMAREKANI.

..Serikali ya awamu ya 6 inataka kuwa na mahusiano mazuri na mabeberu wa Kimarekani.

..Sabaya ktk kuwanyanyasa wapinzani aliwahi kutumia magari yenye namba feki za UN. Hilo ni kosa kubwa KIDIPLOMASIA ambalo linaweza kusababisha asiteuliwe ktk awamu ya 6.
 
Kwahiyo mbunge ni mkubwa kuliko mkuu wa Mkoa?
 
Haya Lema alidhibitiwa na Gambo hadi akauchukuwa ubunge wake

Je, Mrisho ni Waziri?


Kama wewe unafikiri uchaguzi wa 2020 ulikuwa na haki endelea na ndoto zako. Nyie ni wali walio aminishwa Corona haipo Tanzania pekee!
 
Mkoa wa Arusha huwa ni kipimo cha utendaji kwa maofisa wa Polisi kwa sababu ya criminal record yake.

Ukifuatilia hata historia ya uhalifu mkubwa unaotokea sehemu mbalimbali nchini ikiwemo na Dar es Salaam yenyewe.
Utakuta wale Ring leaders au ma Cartel wenyewe huwa vyanzo vyao ni Arusha.

Na hii imetokana na jiografia ya mji wa Arusha kuwa karibu mno na Nairobi - Kenya.

Hivyo kuwa na muingiliano rahisi wa wahalifu baina ya nchi mbili hizi.

Lema mwenyewe analijua hilo maana na yeye historia yake ilianzia huko akihusishwa na upigaji wa mamchuma miaka ileee!
 
Hao uliotaja ni majambazi
 
Hao uliotaja ni majambazi
Mbona Lema pia ni jambazi mstaafu wa wizi wa magari pale Arusha?

Kama unae rafiki au ndugu anayeijua Arusha vizuri muulize uthibitishe.

Sisi wa hapa Arusha tunamfahamu tangu enzi zile za kina Marehemu Amiri na Tarimo Kidevu.

Karibu Sakina bar uonje nyama choma ya ukweli.
 
Polisi wenu ni wajinga jambazi gani yupo mtaani badala ya kuwa kisongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…