johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Mbege haijakutoka bado!Jinga wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbege haijakutoka bado!Jinga wewe
Nimekusikiliza mbunge mstaafu wa Arusha mjini mh Lema kule kwa Maria ukidai Watumishi wanaodhibiti Wapinzani huteuliwa vyeo vikubwa.
Hii siyo kweli bwashee Lema.
Mbona Makonda, Ole Sabaya, Mnyeti na hata Kasesela hawajateuliwa?
Hata hivyo hongera kwa Mkoa wako kutoa viongozi wakuu wa Jeshi la polisi nakumbuka hata wewe ulikuwa Waziri kivuli wa Wizara ya Mambo ya Ndani.
Haya Lema alidhibitiwa na Gambo hadi akauchukuwa ubunge wakeHoja yako ni ya kitoto. Kwanza huwezi kumteua mkuu wa mkoa au wilaya kuwa DCI au IGP. Pili Lema hajasema watumishi wote! kama kuna watumishi wadidmizaji 1000 na kazi 100 huwezi kuwapa wadidimizaji wote kazi.
Haya Lema alidhibitiwa na Gambo hadi akauchukuwa ubunge wake
Je, Mrisho ni Waziri?
Kwahiyo mbunge ni mkubwa kuliko mkuu wa Mkoa?..Mrisho Gambo, Alexander Mnyeti, ni baadhi ya waliopewa ubunge kama shukrani ya kunyanyasa wapinzani.
..Tatizo la Makonda huenda ni vikwazo alivyowekewa na WAMAREKANI.
..Serikali ya awamu ya 6 inataka kuwa na mahusiano mazuri na mabeberu wa Kimarekani.
..Sabaya ktk kuwanyanyasa wapinzani aliwahi kutumia magari yenye namba feki za UN. Hilo ni kosa kubwa KIDIPLOMASIA ambalo linaweza kusababisha asiteuliwe ktk awamu ya 6.
Kwahiyo mbunge ni mkubwa kuliko mkuu wa Mkoa?
Haya Lema alidhibitiwa na Gambo hadi akauchukuwa ubunge wake
Je, Mrisho ni Waziri?
Mkoa wa Arusha huwa ni kipimo cha utendaji kwa maofisa wa Polisi kwa sababu ya criminal record yake.Nimekusikiliza mbunge mstaafu wa Arusha mjini mh Lema kule kwa Maria ukidai Watumishi wanaodhibiti Wapinzani huteuliwa vyeo vikubwa.
Hii siyo kweli bwashee Lema.
Mbona Makonda, Ole Sabaya, Mnyeti na hata Kasesela hawajateuliwa?
Hata hivyo hongera kwa Mkoa wako kutoa viongozi wakuu wa Jeshi la polisi nakumbuka hata wewe ulikuwa Waziri kivuli wa Wizara ya Mambo ya Ndani.
Hao uliotaja ni majambaziNimekusikiliza mbunge mstaafu wa Arusha mjini mh Lema kule kwa Maria ukidai Watumishi wanaodhibiti Wapinzani huteuliwa vyeo vikubwa.
Hii siyo kweli bwashee Lema.
Mbona Makonda, Ole Sabaya, Mnyeti na hata Kasesela hawajateuliwa?
Hata hivyo hongera kwa Mkoa wako kutoa viongozi wakuu wa Jeshi la polisi nakumbuka hata wewe ulikuwa Waziri kivuli wa Wizara ya Mambo ya Ndani.
Lema?Hao uliotaja ni majambazi
Mbona Lema pia ni jambazi mstaafu wa wizi wa magari pale Arusha?Hao uliotaja ni majambazi
Polisi wenu ni wajinga jambazi gani yupo mtaani badala ya kuwa kisongoMbona Lema pia ni jambazi mstaafu wa wizi wa magari pale Arusha?
Kama unae rafiki au ndugu anayeijua Arusha vizuri muulize uthibitishe.
Sisi wa hapa Arusha tunamfahamu tangu enzi zile za kina Marehemu Amiri na Tarimo Kidevu.
Karibu Sakina bar uonje nyama choma ya ukweli.