Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,203
- 5,610
Post ya Lema hii hapa chini:
- LGE2024 - Special Thread: Hali ya Vituo vya Kujiandikisha kupiga Kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kwa Picha na Video
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema wamebanwa kila kona pampasi zimewalowaaa.!!
Unafurahia ujinga kwa faida ya nani?Chadema wamebanwa kila kona pampasi zimewalowaaa.!!
Under 18 linj akawa mpiga kura?
Yes.Unafurahia ujinga kwa faida ya nani?
Hii hoja yako kuntu sana. Vijana wanalelewa wasiwe waaminifu.Taifa linalolea vijana wake wasiwe waaminifu! CCM inapata Raha gani kwa kuangamiza taifa?
Wewe unataka mzee mbow na genge lake wakutoe machoHamna haja ya kufanya chaguzi nchi hii
Wewe unataka mzee mbow na genge lake wakutoe machoHamna haja ya kufanya chaguzi nchi hii
Morogoro au njombe ndio nini?? Huyu Lema mwizi WA magari maarufu Arusha, hana jipya.Godbless Lema kupitia Akaunti yake ya Mtandao wa X anaandika na kuweka video inayodaiwa kuwa wanafunzi wa kata ya Igama (Njombe au Morogoro) wameagizwa na Walimu wao kujiandikisha kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyia November 27, 2024. Tazama video hapo Juu.
Post ya Lema hii hapa chini:
PIA SOMA
- LGE2024 - Special Thread: Hali ya Vituo vya Kujiandikisha kupiga Kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kwa Picha na Video
Sasa ndo CCM waelimishwe kua hao watoto hawana sifà ya kupiga kura,hivyo wasiandikishweChadema wamebanwa kila kona pampasi zimewalowaaa.!!
Under 18 linj akawa mpiga kura?
Wewe unaamini ya Lema?Sasa ndo CCM waelimishwe kua hao watoto hawana sifà ya kupiga kura,hivyo wasiandikishwe