LGE2024 Godbless Lema: Kata ya Igama Walimu wanawaambia Wanafunzi wasio na vigezo wajiandikishe

LGE2024 Godbless Lema: Kata ya Igama Walimu wanawaambia Wanafunzi wasio na vigezo wajiandikishe

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Godbless Lema kupitia Akaunti yake ya Mtandao wa X anaandika na kuweka video inayodaiwa kuwa wanafunzi wa kata ya Igama (Njombe au Morogoro) wameagizwa na Walimu wao kujiandikisha kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyia November 27, 2024. Tazama video hapo Juu.

Post ya Lema hii hapa chini:

1728756351526.png
PIA SOMA
- LGE2024 - Special Thread: Hali ya Vituo vya Kujiandikisha kupiga Kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kwa Picha na Video
 
Hilda Newton kupia mtandao wa X emedai kuwa kutoka Kata ya Igima, Walimu wamewapeleka wanafunzi ili wajiandikishe, Wakala wa CHADEMA alipowabananisha wanafunzi kuhusu umri wao, wanafunzi wakaingia mitini.

Godbless Lema kupitia Akaunti yake ya Mtandao wa X anaandika na kuweka video inayodaiwa kuwa wanafunzi wa kata ya Igama (Njombe au Morogoro) wameagizwa na Walimu wao kujiandikisha kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyia November 27, 2024. Tazama video hapo Juu.

Post ya Lema hii hapa chini:

PIA SOMA
- LGE2024 - Special Thread: Hali ya Vituo vya Kujiandikisha kupiga Kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kwa Picha na Video
Morogoro au njombe ndio nini?? Huyu Lema mwizi WA magari maarufu Arusha, hana jipya.
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Huyo mwalimu atapandishwa cheo... CCM wanapenda sana ujinga wa namna hii
 
Chadema wamebanwa kila kona pampasi zimewalowaaa.!!
Under 18 linj akawa mpiga kura?
Sasa ndo CCM waelimishwe kua hao watoto hawana sifà ya kupiga kura,hivyo wasiandikishwe
 
Sasa ndo CCM waelimishwe kua hao watoto hawana sifà ya kupiga kura,hivyo wasiandikishwe
Wewe unaamini ya Lema?
Propaganda tu hizo.
Hakuna mwandikishaji atakubali upuuzi huo.
Lema hana jipya kwa sasa. Anataka huruma ya nani sijui
 
Godbles anaandika "wana funzi" na sio "wanafunzi" hata hivyo tumekupata
 
Back
Top Bottom