Tetesi: Godbless Lema kujiuzulu ujumbe wa Kamati Kuu CHADEMA Novemba 1, 2026

Tetesi: Godbless Lema kujiuzulu ujumbe wa Kamati Kuu CHADEMA Novemba 1, 2026

Wabongo kazi kulaumu watu tu wenyewe mmejifungia vyumbani na wake zenu kimyaa!
To be honest silaumu yeyote atakaenunulika hadi siku ambayo wa Tanzania watakua tayari kulinda watu wanaowapazia sauti na kutoka front kupigania haki zao.
 
Tokea alivyosema katiba haiwezi kubadili kitu nilijua tu.........!

Hivi sababu ni mgao ule?
Maana pesa nyokooo!

Bado hana ushawishi Lema ni mtu wa kawaida sana kwenye siasa za vyama upinzani hajafika hata uwezo wa Zitto sio wa sasa ambae kashidwa na baba levo zitto Lema Hata Elimu hana kwa huyo ni mtu wa kawaida sana
 
Tokea alivyosema katiba haiwezi kubadili kitu nilijua tu.........!

Hivi sababu ni mgao ule?
Maana pesa nyokooo!
Vip ww maoni yako unadhani katiba mpya ndo tiba ya Kila kitu ndani ya hii au unakubaliana na lema?
 
Lema inabidi ajiuzulu maana hela aliyopewa kuwashawishi cdm waaingie kwenye maridhiano imeshindwa kufanya kazi. Ameona bora aondoke kuliko ccm wamtie pressure wakati Kashindwa kazi, na hela kashakula. Hela aliyopewa Lema ndio alikuwa anatumia wahuni kumchafua Heche na press uchwara.
 
Wewe ni kama tu lema,

Alijifanya anatabiri, kumbe anapenyezewa classified info,
 
Kujiuzulu ujumbe kuna shida gani?!

Humu ndani wengi mnatetemeka hovyo sana, Lema akisema tu anaongea na waandishi wa habari hamkai mkatulia, pressure...
 
Miaka yote nimeangalia hizi Siasa za hawa watu nimeamini Kizazi cha hawa Viongozi wa sasa ni majoka wengi ambao wamedanganya watu kwa miaka mingi sana...Hivi mkimuangalia Mbowe mnaelewa alivyowacheza watu kumbe tapeli tu kwa miaka mingi anaishi kudanganya watu mzee mzima!!!

Hili la Lema ni dogo sana yeye anatala maridhiano wakati Kiongozi wake mkuu yuko jela...sasa anataka kuongoza genge la kuondoa Viongozi halali ajipachikie yeye...BISHAA BABA WAKUSANUE...WEWE NTU WA DILI BISHII BABA WANAKUSANUE....

Mange amekusema lakini wewe ni nyoka umegeuka na una genge lako....
 
Bado hana ushawishi Lema ni mtu wa kawaida sana kwenye siasa za vyama upinzani hajafika hata uwezo wa Zitto sio wa sasa ambae kashidwa na baba levo zitto Lema Hata Elimu hana kwa huyo ni mtu wa kawaida sana
Kumbe basi sawa
 
Sasa mbona mitazamo yake inawatoa povu.
 
Back
Top Bottom