ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Mkuu ITR katiba mpya sio tiba ya kila kitu lakini ni mwanzo mzuri kuendea kwenye ujenzi wa taifa lisilomilikiwa na chamaVip ww maoni yako unadhani katiba mpya ndo tiba ya Kila kitu ndani ya hii au unakubaliana na lema?
My take:Katiba mpya na bora itaweza kupunguza mambo mengi sana, tena kwa kiwango kikubwa
Mfano:
Ukomo wa madaraka
Kwenye kufanya maamzi
Tume huru ya uchaguzi
Miongozo mizuri kuhusu utendaji na uwajibikaji wa Bunge(Maana bunge letu ni kama limejifia kifo cha mende)
Kulinda uhuru na mamlaka ya Mahakama(ukiangalia kesi ya TL utaelewa nini nasema)
Hayo ni machache kati ya faida tutakazozipata kupitia katiba mpya tena sio mpya tu ila bora
Chombezo :Mkurugenzi wa tume ya uchaguzi anateuliwa na nani?