mkongoman leo
JF-Expert Member
- Mar 26, 2026
- 294
- 345
Kaondoka Slaa, Mbowe, Halima Mdee nk chama kinadunda sembuse Lema hiki chama wananchi wanakibeba sana na ni kiliwazo chao kwa mazingira ya kisiasa ya sasa. Wananchi hawana namnaChadema bila lema haipo, uhai wa chadema unategemea uwepo wa lema, akiondoka tu chadema chali.
Tokea alivyosema katiba haiwezi kubadili kitu nilijua tu.........!
Hivi sababu ni mgao ule?
Maana pesa nyokooo!
KWANI KUNA NINI NA LEMA? SIJAPATA UNDANI WAKEHabari ndo hiyo .
Mto wa mbu
Nadhan kaka wa lissu alikuja kumaliza game, kujiuzulu ni vema kuliko kufukuzwaTokea alivyosema katiba haiwezi kubadili kitu nilijua tu.........!
Hivi sababu ni mgao ule?
Maana pesa nyokooo!
Vip ww maoni yako unadhani katiba mpya ndo tiba ya Kila kitu ndani ya hii au unakubaliana na lema?Tokea alivyosema katiba haiwezi kubadili kitu nilijua tu.........!
Hivi sababu ni mgao ule?
Maana pesa nyokooo!
WanaCCM tuna imani sana na Lema.Arudishe na pesa sasa sio kuishia kujiuzuru tu!
Awaoe ili mzidi kuimarisha imani yenu kwake..!!WanaCCM tuna imani sana na Lema.
Kumbe basi sawaBado hana ushawishi Lema ni mtu wa kawaida sana kwenye siasa za vyama upinzani hajafika hata uwezo wa Zitto sio wa sasa ambae kashidwa na baba levo zitto Lema Hata Elimu hana kwa huyo ni mtu wa kawaida sana
Kwakweli bora awahiNadhan kaka wa lissu alikuja kumaliza game, kujiuzulu ni vema kuliko kufukuzwa
Yupo huru kwenda chama chochote.Safari ya chauma imewadia
Sasa mbona mitazamo yake inawatoa povu.Bado hana ushawishi Lema ni mtu wa kawaida sana kwenye siasa za vyama upinzani hajafika hata uwezo wa Zitto sio wa sasa ambae kashidwa na baba levo zitto Lema Hata Elimu hana kwa huyo ni mtu wa kawaida sana