ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Mkuu ITR katiba mpya sio tiba ya kila kitu lakini ni mwanzo mzuri kuendea kwenye ujenzi wa taifa lisilomilikiwa na chamaVip ww maoni yako unadhani katiba mpya ndo tiba ya Kila kitu ndani ya hii au unakubaliana na lema?
Mm kwa mtazamo wangu ninacho kiona tatizo la Africa sio katiba tulizo nazo bali ni tabia za kutowajibika ambazo lipo kiasiri zaidi na ndani ya damu zetu ,waafrika hatuna na hatupendi kuwajibika na hili halipo ccm tu bali lipo hata huko chadema, na kwa watz kwa ujumla hata huu mzozo unao endelea kwa sasa kati ya lema na akina heche ni mzozo wa kugombania maslahi tu ya kifedha na madaraka tu hakuna kingine.Mkuu ITR katiba mpya sio tiba ya kila kitu lakini ni mwanzo mzuri kuendea kwenye ujenzi wa taifa lisilomilikiwa na chama
My take:Katiba mpya na bora itaweza kupunguza mambo mengi sana, tena kwa kiwango kikubwa
Mfano:
Ukomo wa madaraka
Kwenye kufanya maamzi
Tume huru ya uchaguzi
Miongozo mizuri kuhusu utendaji na uwajibikaji wa Bunge(Maana bunge letu ni kama limejifia kifo cha mende)
Kulinda uhuru na mamlaka ya Mahakama(ukiangalia kesi ya TL utaelewa nini nasema)
Hayo ni machache kati ya faida tutakazozipata kupitia katiba mpya tena sio mpya tu ila bora
Chombezo :Mkurugenzi wa tume ya uchaguzi anateuliwa na nani?
Ndivyo mnavyomdanganya abuduli hivyo?Chadema bila lema haipo, uhai wa chadema unategemea uwepo wa lema, akiondoka tu chadema chali.
Kwahiyo nini kifanyike?Mm kwa mtazamo wangu ninacho kiona tatizo la Africa sio katiba tulizo nazo bali ni tabia za kutowajibika ambazo lipo kiasiri zaidi na ndani ya damu zetu ,waafrika hatuna na hatupendi kuwajibika na hili halipo ccm tu bali lipo hata huko chadema, na kwa watz kwa ujumla hata huu mzozo unao endelea kwa sasa kati ya lema na akina heche ni mzozo wa kugombania maslahi tu ya kifedha na madaraka tu hakuna kingine.
Kiufupi uozo ulio jaa ccm ndo ulio jaa chadema.
Uozo wote unao endelea kuanzia ufisadi,utekaji,ukandamizaji wa democrasia,uibaji wa kura vyote ni haramu kwa mujibu wa katiba iliyopo sasa lakini watu hilo hawajali wanaikanyaga wanavyo taka ,kwahiyo sioni hiyo katiba mpya itakuwa na upako gani kutoka kwa mungu utakao wafanya watawala waiheshimu.
Hapo Kenya walijipatia katiba mpya lakini mengi yaliyo andikwa humo yamebaki kwenye maandiko tu lakini kivitendo ni ziro.
Wana tume huru ya uchaguzi lakini Kila mwaka wa uchaguzi ni razima vurugu zitokee na watu wafe kwa madai ya udanganyifu kwenye uchaguzi.
Nimalizie kwa kusema kuwa tatizo la Africa sio mifumo ya uongozi bali ni tabia zetu za kutowajibika zilizoko kwenye damu yetu.
Maisha ya waafrika kuanzia watawala mpaka sisi raia wa kawaida tunapenda kuishi maisha ya ujanja janja sana.
😂😂😂😂😂 UwiiiiAwaoe ili mzidi kuimarisha imani yenu kwake..!!
Africa tuna matatizo mengi ndio sikatai ila mengine ni kujiendekeza sijui unaelewa yaani tumechukua mazoea tukajenga tabiaMm kwa mtazamo wangu ninacho kiona tatizo la Africa sio katiba tulizo nazo bali ni tabia za kutowajibika ambazo lipo kiasiri zaidi na ndani ya damu zetu ,waafrika hatuna na hatupendi kuwajibika na hili halipo ccm tu bali lipo hata huko chadema, na kwa watz kwa ujumla hata huu mzozo unao endelea kwa sasa kati ya lema na akina heche ni mzozo wa kugombania maslahi tu ya kifedha na madaraka tu hakuna kingine.
Hakuna kuhalalisha kosa kwa kosa lingine huu utakua upuuzi mkuuKiufupi uozo ulio jaa ccm ndo ulio jaa chadema.
Mkuu jambo dogo kama hili unashindwa kuelewa serious?Uozo wote unao endelea kuanzia ufisadi,utekaji,ukandamizaji wa democrasia,uibaji wa kura vyote ni haramu kwa mujibu wa katiba iliyopo sasa lakini watu hilo hawajali wanaikanyaga wanavyo taka ,kwahiyo sioni hiyo katiba mpya itakuwa na upako gani kutoka kwa mungu utakao wafanya watawala waiheshimu.
kila siku mnatolea mfano KenyaHapo Kenya walijipatia katiba mpya lakini mengi yaliyo andikwa humo yamebaki kwenye maandiko tu lakini kivitendo ni ziro.
Wana tume huru ya uchaguzi lakini Kila mwaka wa uchaguzi ni razima vurugu zitokee na watu wafe kwa madai ya udanganyifu kwenye uchaguzi.
Toa ushauriNimalizie kwa kusema kuwa tatizo la Africa sio mifumo ya uongozi bali ni tabia zetu za kutowajibika zilizoko kwenye damu yetu.
Maisha ya waafrika kuanzia watawala mpaka sisi raia wa kawaida tunapenda kuishi maisha ya ujanja janja sana.
Wewe subiri kesho press conference itakayowaacha CHADEMA nzima uchi ukiwemo wewe.Awaoe ili mzidi kuimarisha imani yenu kwake..!!
Kwa kweli, arudishe pesa za watu.Arudishe na pesa sasa sio kuishia kujiuzuru tu!
Nyie mliovamia siasa hamumjui kabisa Lema. Huyu mtu alikuwa heavyweight tangu akiwa TLP (Inawezekana hujui kuwa Lema alikuwa TLP zamani). Sio wa kawaida kama ulivyoandika. Ukimtoa Makongoro Nyerere, Lema ndo mpinzani mwingine aliyewahi kuitikisa CCM jimbo la Arusha mjini kuanzia 2005. Hakuna mwanasiasa wa sasa ndani ya CHADEMA, yaani Lissu na wengine wote anayeweza kunusa level za Zitto kisiasa. Kuhusu elimu hiyo ni changamoto ya wanasiasa wengi CCM na upinzani. Lakini tukumbuke mwanasiasa sio lazima we msomi sana.Bado hana ushawishi Lema ni mtu wa kawaida sana kwenye siasa za vyama upinzani hajafika hata uwezo wa Zitto sio wa sasa ambae kashidwa na baba levo zitto Lema Hata Elimu hana kwa huyo ni mtu wa kawaida sana
Basi baada ya press atakuwa shujaa wa Lumumba.Habari ndo hiyo .
Mto wa mbu
Hili la kweli wakuu...Lema inabidi ajiuzulu maana hela aliyopewa kuwashawishi cdm waaingie kwenye maridhiano imeshindwa kufanya kazi. Ameona bora aondoke kuliko ccm wamtie pressure wakati Kashindwa kazi, na hela kashakula. Hela aliyopewa Lema ndio alikuwa anatumia wahuni kumchafua Heche na press uchwara.