Tetesi: Godbless Lema kujiuzulu ujumbe wa Kamati Kuu CHADEMA Novemba 1, 2026

Kutokupenda kuwajibika ni hali ya asili kama kutokupenda kufanya kazi. Mtu ili awajibike ni lazima alazimishwe kuwajibika. Ni kama vile ambavyo mtu analazimishwa na njaa kufanya kazi.

Mifumo na taasisi viliwekwa ili kuregulate matamanio ya Mwanadamu. Kuwa na Katiba ambayo inamfanya Rais kuwa Mungu mtu na kwamba anaweza kufanya chochote akiwa madarakani lakini yeye asifanywe chochote wewe unaona ni sawa?.

Rais kuingilia mihimili mingine ambayo ipo kisheria kwa ajili ya kudhibiti mwenendo wa utawala wake vile atakavyo kwa ajili ya kukidhi matamanio yake binafsi wewe unaona ni sawa?.

Unalinganisha Tanzania na Kenya?. Bunge na Mahakama ya Kenya vipo kama huku kwetu?. Kenya nako tume ya uchaguzi inateuliwa na mgombea mmojawapo wa chama cha siasa kama huku kwetu?.

Uhuni unaoendelea nchini ni kwa sababu wahuni wametembea na loopholes za Katiba iliyopo. Katiba ingekuwa ina meno yanayong'ata wangewaza mara mbili mbili kabla ya kufanya wanayoyafanya.
 
Pumbavu takataka wewe ,kampanilie kumerrr LEMA akutomboe
 
Mbona hata katiba ya sasa inalipa nguvu bunge ya kumuondoa hata rais madarakani kwa kura ya kutokuwa na Imani naye ?
Katiba iliyoko sasa ni nzuri kama walio pewa dhamana wangekuwa wanaisimamia ipasavyo kwa sababu inakataza Kila aina ya uovu ambao mpaka sasa unaendelea kufanyika.

Tatizo lipo kwenye utekelezaji na uwajibikaji na sidhani hilo tatizo litabadilika kwa sababu ya katiba mpya tu.
Mkuu hata marekani jaji mkuu wa mahakana ana teuliwa na Rais,wakuu wote wa vyombo vya ulinzi na taasisi zote za serikali kuu wanateuliwa na raisi.

Mkuu mm hakuna sehemu nilipo halalisha kinacho fanywa na ccm eti kwa sababu na chadema kinafanyika.
Mm nimekuandikia hili andiko kama kumuunga mkono kuwa Lema yuko sawa kabisa katiba mpya bila fikira mpya na chanya ni kijitabu tu na maandiko tu ya kujifurahisha.
Na Moja wapo ya mfano kutowajibika kwa waafrika ni kutopenda ukweli, kama ukweli anao usema Lema , bali ni kupenda kusikia kinacho wafurahisha.

Mkuu kwani hapo Kenya Kuna nini cha maana zaidi ya hako kauhuru ka kujieleza ka kuwaziba watu macho huku wanasiasa wakiendelea kutumbua nchi ?
Kenya ni Moja wapo ya nchi yenye kiwango kukubwa cha rushwa na ufisafi barani Africa na Duniani kuliko hata Tz yenye katiba mbovu.
Hapo Zambia wana tume huru ya uchaguzi lakini uchaguzi ulio pita kumezuka vurugu na madai ya wizi wa kura na mpaka sasa kiongozi wa upinzani yuko jera kwa tuhuma za uhaini kama Lisu.
 
Vipande Thalatha vya pesa vinafanya kazi.

"Kufanya maagano na wenye njaa ni SHIDA ,masikini wanabadilika badilika" -MABOYA
 
China raisi ana nguvu kubwa ya kuamua Kila kitu lakini ni nchi isiyo kuwa na upumbavu,nchi za ghuba zina mifumo ambayo wafalme na watawala wa nchi hizo ndo Kila kitu lakini ni nchi zenye uwajibikaji.
Mkuu kwani kwenye katiba ya sasa Kuna sehemu yeyote ambayo inaruhusu au kumpa mamlaka rais kuingilia mihimili mingine au wanamfanya hivyo kwa sababu ya kutoiheshimu?
Mkuu Kenya Ina tume huru ya uchaguzi lakini Kila mwaka wa uchaguzi ni razima kutokea vurugu na vifo kwa madai ya wizi wa kura,Kenya nimoja wapo ya nchi yenye kiwango cha juu cha rushwa na ufisadi barani Africa kuliko hata Tz hizo taasisi ziko wapi kukomesha ufisadi kama ziko huru kweli?
Tatizo sio katiba tatizo ni je itaheshimiwa au itakanyagwa kama hii iliyopo inavyo kanyangwa?
 
Bora tu abakie kupambania familia yake maana kuhangaika na watanzania ni ukichaa wa kujitakia.
 
Mbona hata katiba ya sasa inalipa nguvu bunge ya kumuondoa hata rais madarakani kwa kura ya kutokuwa na Imani naye ?
Sasa kwa bunge gani na wewe mkuu hili la chama kimoja bunge la Yes baby I'm coming?
Katiba iliyoko sasa ni nzuri kama walio pewa dhamana wangekuwa wanaisimamia ipasavyo kwa sababu inakataza Kila aina ya uovu ambao mpaka sasa unaendelea kufanyika.
Sasa tunataka katiba ambayo inaweza kuwaondoa vilaza kwenye nafasi za uongozi walizoshikilia miaka nenda rudi

Nimekuuliza mkurugenzi wa tume ya uchaguzi anateuliwa na nani?
Tatizo lipo kwenye utekelezaji na uwajibikaji na sidhani hilo tatizo litabadilika kwa sababu ya katiba mpya tu.
Utekelezaji unaitaji viongozi wenye utashi ambao kwa katiba yetu hatuwezi kuwapa kirahisi
Mkuu hata marekani jaji mkuu wa mahakana ana teuliwa na Rais,wakuu wote wa vyombo vya ulinzi na taasisi zote za serikali kuu wanateuliwa na raisi.
Nilishasema kwenye mada nyingi sisi kujilinganisha na marekani ni uongoo na kichekesho cha karne
Huko hao watu wametuzidi mbali angalia hata bunge lao tu utaelewa mahakama zao utaelewa
hizo fikra mpya zitapandikizwa vipi kwa watu kwa njia gani

Tatizo la nchii hii ni kichaa kukabidhiwa rungu sio kwamba watu hawana fikra unajidanganya

Na ni kazi sana kumnyang'anya kichaa rungu inaitaji mahesabu makali ukienda vibaya anakuponda kicwa

Na Moja wapo ya mfano kutowajibika kwa waafrika ni kutopenda ukweli, kama ukweli anao usema Lema , bali ni kupenda kusikia kinacho wafurahisha.
Lema hajasema ukweli ila katoa maoni tu mie sishabikii mtu naunga mkono mtu yoyote anaesema vitu vyenye tija bila kuangalia jina lake au yeye ni nani
Mkuu kwani hapo Kenya Kuna nini cha maana zaidi ya hako kauhuru ka kujieleza ka kuwaziba watu macho huku wanasiasa wakiendelea kutumbua nchi ?
Hilo unaliona dogo mkuu acha basi heh
We huoni huku ukinyanyua ulimi unapotezwa ?
yupo wapi Twaha?

Kwanini unaona uhuru wa kujieleza ni kitu kidogo?
Kenya ni Moja wapo ya nchi yenye kiwango kukubwa cha rushwa na ufisafi barani Africa na Duniani kuliko hata Tz yenye katiba mbovu.
Hili halikufanyi ujifariji kwa yanayoendelea kwetu halafu nilikuuliza kwani Kenya tu ndio kiigizo chetu?
Hapo Zambia wana tume huru ya uchaguzi lakini uchaguzi ulio pita kumezuka vurugu na madai ya wizi wa kura na mpaka sasa kiongozi wa upinzani yuko jera kwa tuhuma za uhaini kama Lisu.
Yote ni kwa sababu ya vichaa kukabidhiwa marungu

Nchi ikipata mtu mahili akaipiga msasa yataundwa majukwaa ya kuelemishana na watu unaodhani hawana fikra wataelimika

Lakini kwa sasa hayo unayosema wewe hayawezekani
Utafanya wapi midahalo na vijana na wakati utaitwa mchochezi
Nikuulize wewe binafisi unafanya nini ili kuelemisha watu na kwa njia gani maana unasema katiba haitaleta mabadiliko
 
Anamfuata Mbowe na Yeriko..... Zote hizi ni manipulations za wanasiasa wakidhani kuwa wanafanya siasa kumbe ni ulaghai tu dhidi ya jamii.

Angalia Msigwa karudi tena CHADEMA baada ya kutimkia CCM na kugundua kuwa kule CCM watu wanalinda migongo yao kwa wivu mkubwa, hakuweza kuwachanganya wana CCM apate hata ukuu wa wilaya. Amebakia kuhubiri majuto kwenye majukwaa..... Tunatakiwa kuanza upya kabisa kujenga nchi hii.
 
Chadema bila lema haipo, uhai wa chadema unategemea uwepo wa lema, akiondoka tu chadema chali.
We nae etiu aitwa mtu mzima wa abo18yrs kweli yye nani kaondoka Mei yye jambazi mtaafu ndio aitishe CDM kweli mkuuu ww ni popoma mbowe kaondoa ndio kwanza chama kimezidi kuimalika ukitaka kujua nguvu ya chadema FREE TL MUONE MOTO
 
Una uhakika kwamba Rais wa China yupo huru kufanya jambo lolote hata kama linahujumu Taifa lake na asifanywe chochote?
 
Ngoja tusubiri lakni sidhani kama anataka kuondoka CHADEMA
Kabla ya kuondoka sehemu inayo mpa ugali kwa ajili ya kuitumikia ccm huku akiwa CDM apite kwanza kwa Msigwa na Clotois Chama awaulize habari ya kuondoka sehemu yenye furaha ya kweli ili upewe vipande,ndio achukue uamuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…