Godbless Lema kumrithi John Mrema

Godbless Lema kumrithi John Mrema

Lissu atuambie anamkakati Gani wa kulipata Jimbo la Ikungi,alikozaliwa ,kwenye uchaguzi mkuu 2025?
 
Msipo badili katiba yenu! Tabia ya viongozi wa ngazi zaTaifa,Kila mtu kujaza fomu kama anaomba mkopo,itakuja kukigharimu chama
 
Sio muda mrefu uchaguzi mkuu ukiisha tu matokeo yakitoka Chadema watampiga mateke nje Lisu

Lisu mtihani wake wa kwanza ni kufanikisha uchaguzi mkuu kwa Chadema kuanzia maandalizi teuzi za wagombea,uwezeshaji kifedha uchaguz na kampeni i na logistics zote zihusuzo uchaguzi mkuu

Lisu uwezo hana wa vyote hivyo ukilinganisha na Mbowe

Mbowe akikuwa anamudu vyote hivyo hasa kwenye uchaguzi mkuu
Hakuna aliye zaliwa anajua kuongoza kikubwa Wana mageuzi/ mabadiliko ni kukusanya michango hope watatengenezaa mfumo mzuri wa kukusanya mapato ya chama....

Unacho taka kutuambia ni kua let's say baba wa taifa hayati Mzee Julius kambarage Nyerere asinge zaliwa eti TUSINGE PATA UHURU.

Mambo yanawezekana na ukakuta chama kikaenda mbele zaidi na zaidi kuamsha Hali na matumaini ya wanamabadiliko/ mageuzi
 
Hapo chama kinaenda kuwa kama gari ya gia Moja. (Top gear).
 
Lissu anamtegemea Lema awe ndiyo chief organiser wa chama, mambo yote ya hela zipatikanaje na wapi pia ndiye mshauri wake mkuu.

Ukatibu Mkuu Mnyika hawezi kuwakubalia, naona na yeye ataomba kupumzika - may be tutamuona kwenye Ubunge.
 
Sio muda mrefu uchaguzi mkuu ukiisha tu matokeo yakitoka Chadema watampiga mateke nje Lisu

Lisu mtihani wake wa kwanza ni kufanikisha uchaguzi mkuu kwa Chadema kuanzia maandalizi teuzi za wagombea,uwezeshaji kifedha uchaguz na kampeni i na logistics zote zihusuzo uchaguzi mkuu

Lisu uwezo hana wa vyote hivyo ukilinganisha na Mbowe

Mbowe akikuwa anamudu vyote hivyo hasa kwenye uchaguzi mkuu
Mkuu umetumia vigezo gani kufikia maoni haya.
 
Yaani CHADEMA hata asimamishwe kingwendu kugombea kiti cha urais ntampigia kura huyo huyo tu. Ccm must go ikishindikana tutaanza kumalizana huku mitaani, toka shetani.
 
Hahaaaaa aiseee ,safari ya CDM kumfuata TLP imeanza rasmi.
Chadema inahitaji fedha,ikiwa Uongozi mpya wataweza kutafuta vyanzo vipya vya mapato.
Pia wakapunguza anasa na kutumia pesa yao bila hujuma.Wakajiona wako sawa na makabwela,wakapunguza kiburi,wakaacha lugha zisizokuwa na staha, wakachangishana buku buku.Pia wakaaminika kwa wananchi.Wakaacha siasa za majukwaani,huku wakiwafuata wanachama mashinani nyumba hadi nyumba.Hiyo ndio itakuwa Chadema yenye matumaini.
Bila hivyo CCM itawagalagaza asubuhi mapema.
 
Back
Top Bottom