milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Lissu atuambie anamkakati Gani wa kulipata Jimbo la Ikungi,alikozaliwa ,kwenye uchaguzi mkuu 2025?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi naliona hilo mbeleni,Chadema inakoelekea,Kuna siku watamuomba mbowe agombee Tena Uwenyekiti wa chama hicho
Sawa Chief.Dua la kuku halimpati mwewe .
Hakuna aliye zaliwa anajua kuongoza kikubwa Wana mageuzi/ mabadiliko ni kukusanya michango hope watatengenezaa mfumo mzuri wa kukusanya mapato ya chama....Sio muda mrefu uchaguzi mkuu ukiisha tu matokeo yakitoka Chadema watampiga mateke nje Lisu
Lisu mtihani wake wa kwanza ni kufanikisha uchaguzi mkuu kwa Chadema kuanzia maandalizi teuzi za wagombea,uwezeshaji kifedha uchaguz na kampeni i na logistics zote zihusuzo uchaguzi mkuu
Lisu uwezo hana wa vyote hivyo ukilinganisha na Mbowe
Mbowe akikuwa anamudu vyote hivyo hasa kwenye uchaguzi mkuu
Amepoteza hiyo opportunity kwa kugombea huu uchaguzi. Angekaa pembeni huenda hilo unalosema lingetokea siku za mbeleniChadema inakoelekea,Kuna siku watamuomba mbowe agombee au wampe Tena Uwenyekiti wa chama hicho Bure bila kupiga kura
Pole mkuu, mfuate Mbowe mkatafute mafekeche.Hahaaaaa aiseee ,safari ya CDM kumfuata TLP imeanza rasmi.
...Haahaa hizo ni ndoto, Kuna watu ninao wafahamu kama 50 hivi wamehaidi kujiunga na chadema baada ya lissu kushindaHahaaaaa aiseee ,safari ya CDM kumfuata TLP imeanza rasmi.
Mkuu umetumia vigezo gani kufikia maoni haya.Sio muda mrefu uchaguzi mkuu ukiisha tu matokeo yakitoka Chadema watampiga mateke nje Lisu
Lisu mtihani wake wa kwanza ni kufanikisha uchaguzi mkuu kwa Chadema kuanzia maandalizi teuzi za wagombea,uwezeshaji kifedha uchaguz na kampeni i na logistics zote zihusuzo uchaguzi mkuu
Lisu uwezo hana wa vyote hivyo ukilinganisha na Mbowe
Mbowe akikuwa anamudu vyote hivyo hasa kwenye uchaguzi mkuu
Chadema inakoelekea,Kuna siku watamuomba mbowe agombee au wampe Tena Uwenyekiti wa chama hicho Bure bila kupiga kura
Akili mfu..Mbowe atakuwa amezeeka mno, tukimuomba Abduli aje kuwa mwenyekiti itapendeza.
CDM haotokaa ifike hukoHahaaaaa aiseee ,safari ya CDM kumfuata TLP imeanza rasmi.
JApokuwa halazimikj kusema au kuwajibu. Kwa sasa ana kazi moja tu kutuliza hali ya hewa kwenye chamaLissu atuambie anamkakati Gani wa kulipata Jimbo la Ikungi,alikozaliwa ,kwenye uchaguzi mkuu 2025?
Nilimtabiria baada ya tetesi za kuwa SGDuru ndani ya Kambi ya Lissu zinatabanaisha, ndugu Godbless Lema sasa anaenda ku mrithi John Mrema katika nafasi ya Msemaji wa Chama Taifa (CHADEMA).
"...awali ilikuwa awe SG lakini yeye mwenyewe kagoma. Sasa, Chairman amemlazimisha awe Msemaji wa Chama."
Chanzo.
Pia soma
- CHADEMA anzisheni nafasi ya Katibu Mwenezi badala ya kurugenzi ambayo ina mzigo wa majukumu ya utawala badala ya kueneza chama (publicity)
AnafaaDuru ndani ya Kambi ya Lissu zinatabanaisha, ndugu Godbless Lema sasa anaenda ku mrithi John Mrema katika nafasi ya Msemaji wa Chama Taifa (CHADEMA).
"...awali ilikuwa awe SG lakini yeye mwenyewe kagoma. Sasa, Chairman amemlazimisha awe Msemaji wa Chama."
Chanzo.
Pia soma
- CHADEMA anzisheni nafasi ya Katibu Mwenezi badala ya kurugenzi ambayo ina mzigo wa majukumu ya utawala badala ya kueneza chama (publicity)
Chadema inahitaji fedha,ikiwa Uongozi mpya wataweza kutafuta vyanzo vipya vya mapato.Hahaaaaa aiseee ,safari ya CDM kumfuata TLP imeanza rasmi.