Patriot missile
JF-Expert Member
- Jun 16, 2024
- 280
- 423
Lema anatofauti za wazi kati yake na Katibu wake wa Kanda za Kichadema ya Kaskazini Bw AMANI Golugwa akimtuhumu kuwa ni fisadi mkubwa ndani ya CHADEMA anayekingiwa kifua na Freeman Mbowe.
Amani ambae ni swaiba mkubwa wa Freeman Mbowe wa muda mrefu anatajwa kumpigia kampeni za kuchaguliwa tena rafiki yake huyo aliyedumu madarakani kwa zaidi ya Miaka thelathini ( 30 ).
Godbless Lema kama ilivyo kwa Lissu, Heche na Mnyika hawataki kusikia Freeman Mbowe akirejea madarakani kwani wanaamini sababu ya watu kuuwawa ndani ya chama, kutekwa ndani ya chama, wagombea kukatwa ni matokeo ya uongozi wake dhaifu unaojificha kwenye kichaka cha maridhiano na Rais Samia Suluhu Hassan.
Mathematically, Amani Golugwa na Freeman Mbowe hawana cha kupoteza ukizingatia Amani ataendelea kutafuna ruzuku yoyote itakayomfikia na Mbowe atarejeshwa Bungeni kwa namna yoyote iwavyo na hapa ndipo shida inapoanzia.
Kama Freeman Mbowe atarejea madarakani CHADEMA tutegemee Lemma, Lissu, Mnyika na Heche kuiaga CHADEMA na huenda wakamfuata Msigwa CCM au kuhamia kwenye chama kingine cha Upinzani.
Soma hii pia Kuelekea 2025 - Vigogo wa CHADEMA Arusha wasema tusishangae Lema akimfata Msigwa, wadai Lema hufanya vikao vya siri na Gambo, Makonda na Msigwa