MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Amani Golugwa ni mtu makini na sio mropokaji. Lema kama hataki kufuata maelekezo ya Sultani Mbowe arudi TLP alikotokea. CHADEMA ni Mbowe na Mbowe ndo CHADEMA. Sio kinyume na hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CHADEMA kusuka au kunyoa wakubali kuwapoteza Lissu, Mnyika, Heche ,Lemma ili waendelee kusalia na Mbowe kama mwenyekiti wao wa kudumu
Kamanda Erythrocyte kuna ukweli wowote ? Tunaoumia ni sisi mashabiki wa Demokrasia View attachment 3155862
Mbowe na Lema wanatuletea upuuzi hapa kuwa haweelewani ili kujaribu tu kuondoa uchagga uliojisimika ndani ya hiki chama
CCM wanatumia kila aina ya mbinu kuibomoa CHADEMA kabla ya 2025 maana wanajua hiyo ndio salama yao.. Lakini wasichojua CHADEMA ni mpango wa Mungu baba aliye Hai.. Watashindana lakini hawatashinda
Hizi ramli chonganishi dhidi ya ayattolah Mbowe zinachosha! Kila siku mnarukaruka na kukanyagana lakini yeye kimyaa anaendelea na uenyekiti wake.
Kama mmeshiñdwa kumfurusha kaeni kimya maana hamna jipya.
Inavyoonekana Kuna mvurugano ndani ya Chadema. Kiini cha kuwepo kwa mvurugano huu huko Chadema kwa maoni yangu ni kutokana na namna Mwenyekiti wa Chama chao hicho Freeman Mbowe kukosa misimamo inayoeleweka kuhusiana na Siasa za nchi hii kwa sasa. Siyo siri hata kidogo, Mbowe akiwa Kama Kiongozi wa Chama Chao hicho, amekuwa ni mtu ambaye Hana msimamo unaoeleweka hali hii imesababisha mkwamo na kuyumba kwa Wanachama wa chama hicho.Lema anatofauti za wazi kati yake na Katibu wake wa Kanda za Kichadema ya Kaskazini Bw AMANI Golugwa akimtuhumu kuwa ni fisadi mkubwa ndani ya CHADEMA anayekingiwa kifua na Freeman Mbowe.
Amani ambae ni swaiba mkubwa wa Freeman Mbowe wa muda mrefu anatajwa kumpigia kampeni za kuchaguliwa tena rafiki yake huyo aliyedumu madarakani kwa zaidi ya Miaka thelathini ( 30 ).
Godbless Lema kama ilivyo kwa Lissu, Heche na Mnyika hawataki kusikia Freeman Mbowe akirejea madarakani kwani wanaamini sababu ya watu kuuwawa ndani ya chama, kutekwa ndani ya chama, wagombea kukatwa ni matokeo ya uongozi wake dhaifu unaojificha kwenye kichaka cha maridhiano na Rais Samia Suluhu Hassan.
Mathematically, Amani Golugwa na Freeman Mbowe hawana cha kupoteza ukizingatia Amani ataendelea kutafuna ruzuku yoyote itakayomfikia na Mbowe atarejeshwa Bungeni kwa namna yoyote iwavyo na hapa ndipo shida inapoanzia.
Kama Freeman Mbowe atarejea madarakani CHADEMA tutegemee Lemma, Lissu, Mnyika na Heche kuiaga CHADEMA na huenda wakamfuata Msigwa CCM au kuhamia kwenye chama kingine cha Upinzani.
Soma hii pia Kuelekea 2025 - Vigogo wa CHADEMA Arusha wasema tusishangae Lema akimfata Msigwa, wadai Lema hufanya vikao vya siri na Gambo, Makonda na Msigwa
chadema ni mpango wa shetani m wenye mapembe kabisa na ndiyo maana kila wanachopanga hakifanikiwi na sasa wameshaanza kugawana fito je nyumba itakamilika? shetani hajawahi kushinda hata siku mojaCCM wanatumia kila aina ya mbinu kuibomoa CHADEMA kabla ya 2025 maana wanajua hiyo ndio salama yao.. Lakini wasichojua CHADEMA ni mpango wa Mungu baba aliye Hai.. Watashindana lakini hawatashinda
nabii amekuwa shetani sasahivi kila kona anazomewa tuAmani Golugwa ni mtu makini na sio mropokaji. Lema kama hataki kufuata maelekezo ya Sultani Mbowe arudi TLP alikotokea. CHADEMA ni Mbowe na Mbowe ndo CHADEMA. Sio kinyume na hapo.
AmenCCM wanatumia kila aina ya mbinu kuibomoa CHADEMA kabla ya 2025 maana wanajua hiyo ndio salama yao.. Lakini wasichojua CHADEMA ni mpango wa Mungu baba aliye Hai.. Watashindana lakini hawatashinda
Hakuna ukweli wowoteKamanda Erythrocyte kuna ukweli wowote ? Tunaoumia ni sisi mashabiki wa Demokrasia View attachment 3155862
chadema shetani mwenye mapembe hajawahi kufanikiwa kwa jambo lolote na sasa wanagawana fitoAmen
wanayo lakini hawaifuati ila wanataka katiba mpya wakati ya kwao wameshindwa kuitekelezaChadema hakina katiba kwani?
Hata kama Hakuna Ukweli kuhusu suala hili, lakini kuna Ukweli usiopingika kwamba Freeman Mbowe amekuwa kikwazo cha ustawi na maendeleo ya Chama chenu hicho cha Chadema kwa miaka ya hivi karibuni. Mimi binafsi sipo huko Chadema na wala sipo CCM, isipokuwa ni mdau mkubwa sana wa masuala ya HAKI, MAENDELEO na DEMOKRASIA.Hakuna ukweli wowote
😂😂UWT huwa mnandoto za hovyo sn
Shame on you
Sisi Chadema Wakuja..Kamanda Erythrocyte kuna ukweli wowote ? Tunaoumia ni sisi mashabiki wa Demokrasia View attachment 3155862
Chadema ni ya moto na wako pamoja na wanakwenda pamojaHizi ramli chonganishi dhidi ya ayattolah Mbowe zinachosha! Kila siku mnarukaruka na kukanyagana lakini yeye kimyaa anaendelea na uenyekiti wake.
Kama mmeshiñdwa kumfurusha kaeni kimya maana hamna jipya.
Hii combination ni hatari sanaMbowe-Kigaila - Mwalimu - Mrema - Mdee 😂
Hiyo in ramli,hata akiondoka kwetu in shujaa na nabii.ccm hakuna nabii wala shujaa.LEMA the greatkwani ile hotuba mbovu zaidi ya Lema, ya fedheha, kejeli, dhihaka, majivuno na vitisho baada ya uchaguzi uliosimamiwa na Kigaila pale Arusha, alikua anaetegemea nini kama sio kuwaibua wapinzani wake wajitokeze mundu khu mundu?
Ni dhahiri amechuja,
Na kwakweli atapuuzwa na ameamua kujikaanga na kujipalia makaa. Amejikosea heshima ndani ya chadema Arusha, amejishushia hadhi na kujidhoofisha mwenyewa..
Kiufupi,
huu ndio mwanzo wa mwisho wa nguvu na ushawishi wa za siasa za Lema ndani ya chadema Arusha.🐒
Waunde kingine tuinuke naoCHADEMA kusuka au kunyoa wakubali kuwapoteza Lissu, Mnyika, Heche ,Lemma ili waendelee kusalia na Mbowe kama mwenyekiti wao wa kudumu
nabii mnyang'anyi wa malori sio?🤣Hiyo in ramli,hata akiondoka kwetu in shujaa na nabii.ccm hakuna nabii wala shujaa.LEMA the great
🤔🤔Lema anatofauti za wazi kati yake na Katibu wake wa Kanda za Kichadema ya Kaskazini Bw AMANI Golugwa akimtuhumu kuwa ni fisadi mkubwa ndani ya CHADEMA anayekingiwa kifua na Freeman Mbowe.
Amani ambae ni swaiba mkubwa wa Freeman Mbowe wa muda mrefu anatajwa kumpigia kampeni za kuchaguliwa tena rafiki yake huyo aliyedumu madarakani kwa zaidi ya Miaka thelathini ( 30 ).
Godbless Lema kama ilivyo kwa Lissu, Heche na Mnyika hawataki kusikia Freeman Mbowe akirejea madarakani kwani wanaamini sababu ya watu kuuwawa ndani ya chama, kutekwa ndani ya chama, wagombea kukatwa ni matokeo ya uongozi wake dhaifu unaojificha kwenye kichaka cha maridhiano na Rais Samia Suluhu Hassan.
Mathematically, Amani Golugwa na Freeman Mbowe hawana cha kupoteza ukizingatia Amani ataendelea kutafuna ruzuku yoyote itakayomfikia na Mbowe atarejeshwa Bungeni kwa namna yoyote iwavyo na hapa ndipo shida inapoanzia.
Kama Freeman Mbowe atarejea madarakani CHADEMA tutegemee Lemma, Lissu, Mnyika na Heche kuiaga CHADEMA na huenda wakamfuata Msigwa CCM au kuhamia kwenye chama kingine cha Upinzani.
Soma hii pia Kuelekea 2025 - Vigogo wa CHADEMA Arusha wasema tusishangae Lema akimfata Msigwa, wadai Lema hufanya vikao vya siri na Gambo, Makonda na Msigwa
Sasa CHADEMA ikifa si ni faida kwa CCM.Mbona kelele mingiiii.Lakuku hilo na halijaanza ujueInavyoonekana Kuna mvurugano ndani ya Chadema. Kiini cha kuwepo kwa mvurugano huu huko Chadema kwa maoni yangu ni kutokana na namna Mwenyekiti wa Chama chao hicho Freeman Mbowe kukosa misimamo inayoeleweka kuhusiana na Siasa za nchi hii kwa sasa. Siyo siri hata kidogo, Mbowe akiwa Kama Kiongozi wa Chama Chao hicho, amekuwa ni mtu ambaye Hana msimamo unaoeleweka hali hii imesababisha mkwamo na kuyumba kwa Wanachama wa chama hicho.
Mbowe amekuwa ni mtu asiyeaminika tena kwa sasa ndani ya Chama Chao hicho, watu wengi kwanza wanamchukulia kama ni Mamluki wa Chama tawala ambaye amejipachika kwenye Vyama vya upinzani kwa 'kazi maalumu ya kuvuruga vyama vya upinzani' ili kukinufaisha chama tawala.
'Engine' ya treni ikiharibika mabehewa yote ya treni nayo huyumba na kusimama!