imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Mzee wa "Kaya hewa"😂😂Tena hapo Makonda anamuonea wivu kwa nyota yake eeee kaliiiiiii
View: https://youtu.be/I-0ugVj54wk?si=9-gB83BYI0oVORby
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee wa "Kaya hewa"😂😂Tena hapo Makonda anamuonea wivu kwa nyota yake eeee kaliiiiiii
Ni ajabu sana haya mambo!YAAANI WAPINZANI WAMEAMUA KUWEKANA UCHIII KABIDA YAANI TUNAONA MBUPU ZAO ZINAVYGONGANA HAWANA HATA AIBU
Ila boni yai sio huyu tunaemjua huyu kalogwa tuAkina Boni Yai na mtumbo wake kama pipa
🤣🤣🤣
Aisee naona kuna kitu kwako hakiko sawa.
Yule Boni Yai hashindwi kukuua ikija kwenye suala la pesa🐼Akina Boni Yai na mtumbo wake kama pipa
Huyo muuaji ana nyota ya shetani. Nyota ya kuteka na kuua watu!!
Kwani hao ni wanachama wa chama gani?Imagine yule masanja,maria sarungi au fatma karume ndio wawe wameshika mpini!
Ni kweliWakuu,
Godbless Lema anatema cheche muda huu kuhusu mchakato unaoendelea kwa sasa wa uchaguzi.
Lema anasema kuwa hata upinzani kuna kina Makonda na kina Chalamila sema tu bado hawajapata madaraka.
Mambo yanazdi kuchemka
View attachment 3204339
Huyu Lema emeaumua aibomoe kabisa CHADEMA ife ili wakitoka hapo kila mmoja aanze upya. Anachoongea ni uongo na anajua kuwa ni uongo lakini kwa sababu watu wanapenda umbea na mabishano kama ya Simba na yanga anatumia mwanya huo.Wakuu,
Godbless Lema anatema cheche muda huu kuhusu mchakato unaoendelea kwa sasa wa uchaguzi.
Lema anasema kuwa hata upinzani kuna kina Makonda na kina Chalamila sema tu bado hawajapata madaraka.
Mambo yanazdi kuchemka
View attachment 3204339
Mbona unachagua wote wanachafuana ila umechagua wasio kwenye kundi unalounga mkono. Wote wanaishi kwenye nyumba za vioo na wote wanatupiana mawe.Nyie endeleeni tu kunichafua kwenye mitandao ila uchaguzi ukiisha naanza na hawa
Mbowe, Boni Yai. Yericko Nyerere, Ntobi, Wenje...
Mmeleta ya Chacha Wangwe?Bado hamjasema mtasema ukweli ni suala la muda tuHata Sultan Mbowe siyo mtu mzuri,kwa jinsi alivyochafukwa kwa Lissu kugombea uenyekiti yanayosemwa kumpata Chacha Wangwe yanaweza kuwa kweli,siyo kwa povu analomwaga Mbowe sasa hivi na nyumbu wake.
Akina Boni Yai na mtumbo wake kama pipa
Boni yai hana matatizo yoyote alishawai kuwa mea alishawahi kuwa diwani aliongoza vizuri tu. Tatizo la boni yai limekuja tu kwasababu ya kumuunga mwenyekiti mkono hapo ndipo akawekwa kundi la wasaliti ila boni yai ni hazina kubwa sana CHADEMA mimi, simu underrate hata kidogo. Huu upepo umekuja ghafla wengine siyo kuwa wanamuunga mkono mwenyekiti ila wapo njia panda awaaelewi nini ni nini.Akina Boni Yai na mtumbo wake kama pipa