Godbless Lema: Kwenye vyama vya upinzani kuna watu wabaya kuliko kina Makonda na Chalamila. Hawana tu madaraka!

Godbless Lema: Kwenye vyama vya upinzani kuna watu wabaya kuliko kina Makonda na Chalamila. Hawana tu madaraka!

Lema mwenyewe ni mbaya amezulumu vifaa mpaka na nguo kwenye maduka ya watu huko arusha.

Lema ni mwizi wa magari mstaafu yeye na akina chonjo na wajomba zake akina kileo wa kaloleni ambao mmojawapo aliuawa kwenye tukio la kuiba gari.

Lema hana usafi wowote ameona kwa mbowe hamna maslahi yake binafsi amegeuza ni ugomvi sasa
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Wakuu,

Godbless Lema anatema cheche muda huu kuhusu mchakato unaoendelea kwa sasa wa uchaguzi.

Lema anasema kuwa hata upinzani kuna kina Makonda na kina Chalamila sema tu bado hawajapata madaraka.

Mambo yanazdi kuchemka

View attachment 3204339
Huyu Lema emeaumua aibomoe kabisa CHADEMA ife ili wakitoka hapo kila mmoja aanze upya. Anachoongea ni uongo na anajua kuwa ni uongo lakini kwa sababu watu wanapenda umbea na mabishano kama ya Simba na yanga anatumia mwanya huo.

Baada tu ya uchaguzi Lema allistahili summary dismissal.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Nyie endeleeni tu kunichafua kwenye mitandao ila uchaguzi ukiisha naanza na hawa
Mbowe, Boni Yai. Yericko Nyerere, Ntobi, Wenje...
 
Nyie endeleeni tu kunichafua kwenye mitandao ila uchaguzi ukiisha naanza na hawa
Mbowe, Boni Yai. Yericko Nyerere, Ntobi, Wenje...
Mbona unachagua wote wanachafuana ila umechagua wasio kwenye kundi unalounga mkono. Wote wanaishi kwenye nyumba za vioo na wote wanatupiana mawe.
 
Hata Sultan Mbowe siyo mtu mzuri,kwa jinsi alivyochafukwa kwa Lissu kugombea uenyekiti yanayosemwa kumpata Chacha Wangwe yanaweza kuwa kweli,siyo kwa povu analomwaga Mbowe sasa hivi na nyumbu wake.
 
Hata Sultan Mbowe siyo mtu mzuri,kwa jinsi alivyochafukwa kwa Lissu kugombea uenyekiti yanayosemwa kumpata Chacha Wangwe yanaweza kuwa kweli,siyo kwa povu analomwaga Mbowe sasa hivi na nyumbu wake.
Mmeleta ya Chacha Wangwe?Bado hamjasema mtasema ukweli ni suala la muda tu
 
Duh!

Sasa hapa mawazo yangu kuwa chadema wameamua kutumia nafasi hii kukiweka chama mdomoni na akilini na moyoni mwa wananchi yanazidi kupata nguvu akilini mwangu.

Maama haiingii akilini jinsi wanavyoachana uchi. Hii strategy ndio hutumia wasanii duniani kupata fan base na kuendelea kuwa relevant. Natumaini na wao wameamua kutumia mbinu hiyo.

Anyway iwe mvua iwe jua am team Mbowe.
 
Akina Boni Yai na mtumbo wake kama pipa
Boni yai hana matatizo yoyote alishawai kuwa mea alishawahi kuwa diwani aliongoza vizuri tu. Tatizo la boni yai limekuja tu kwasababu ya kumuunga mwenyekiti mkono hapo ndipo akawekwa kundi la wasaliti ila boni yai ni hazina kubwa sana CHADEMA mimi, simu underrate hata kidogo. Huu upepo umekuja ghafla wengine siyo kuwa wanamuunga mkono mwenyekiti ila wapo njia panda awaaelewi nini ni nini.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom