Uandikishaji kwenye Daftari la Wapigakura wa Serikali za Mitaa umeanza rasmi leo, tarehe 11 Oktoba, 2024, na utaendelea hadi Oktoba 20, 2024. Hatua hii inampa fursa kila Mwananchi mwenye umri wa miaka 18 na kuendelea kushiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 27 Novemba, 2024. So ni vizuri kutumia siku hizi kumi kujisajili ili kila mmoja aweze kutimiza haki yake ya kikatiba.
Hata hivyo, jana huko Arusha, Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema, alitoa onyo kwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha John Kayombo kuhusu kufanyika kwa tamasha la Land Rover Festival ambalo litafanyika kuanzia tarehe 12 hadi 14 Oktoba Katikati ya zoezi la uandikishaji.
Lema, ambaye pia aliwahi kuwa Mbunge wa Arusha Mjini, alidai kuwa tamasha hilo linaweza kuwa na athari kwa zoezi la uandikishaji. Na kueleza wasiwasi wake kwamba tamasha hilo linaweza kuwakwamisha baadhi ya wananchi wasijiandikishe, na hivyo kushindwa kutimiza haki yao ya msingi ya kupiga kura ifikapo Novemba 27.
Uandikishaji kwenye Daftari la Wapigakura wa Serikali za Mitaa umeanza rasmi leo, tarehe 11 Oktoba, 2024, na utaendelea hadi Oktoba 20, 2024. Hatua hii inampa fursa kila Mwananchi mwenye umri wa miaka 18 na kuendelea kushiriki katika Uchaguzi Mkuu wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 27 Novemba, 2024. So ni vizuri kutumia siku hizi kumi kujisajili ili kila mmoja aweze kutimiza haki yake ya kikatiba.
Hata hivyo, jana huko Arusha, Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema, alitoa onyo kwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha John Kayombo kuhusu kufanyika kwa tamasha la Land Rover Festival ambalo litafanyika kuanzia tarehe 12 hadi 14 Oktoba Katikati ya zoezi la uandikishaji.
Lema, ambaye pia aliwahi kuwa Mbunge wa Arusha Mjini, alidai kuwa tamasha hilo linaweza kuwa na athari kwa zoezi la uandikishaji. Na kueleza wasiwasi wake kwamba tamasha hilo linaweza kuwakwamisha baadhi ya wananchi wasijiandikishe, na hivyo kushindwa kutimiza haki yao ya msingi ya kupiga kura ifikapo Novemba 27.
Hata saa mbovu kuna muda inasema kweli, ule upotoshaji wa Upinzani wanaibiwa kura kumbe sio kweli ila Lema kaonesha ukweli kwamba Upinzani huwa hawajiandikishi. 2025 ni kilio kikubwa mno kwa upinzani

Kama wewe tu ulivyo, kutwa kuchwa kukasirikia yale wayafanyayo chadema. Utaugua ugonjwa wa moyo ndugu. Kubali tu kuwa Mungu alituumba kuwa wenye mitazamo tofauti kuhusu mambo mbalimbali, na hiyo ndio afya kwa maendeleo ya mwanadamu. Huwezi kubadili chochote, vinginevyo ujinyonge tu pale makasiriko yanapozidi.

kwani chadema wanafanya nini gentleman na walivyo filisika na mikopo namna ile? 🤣
siwezi kubadili mihemko na ghadhabu zenu wala tabia yenu ya kuporomosha matusi mazito mazito kwa mpangilio, kwasabb huo ndio utamaduni na utambulisho wenu kwa jamii 🐒

Kumsikiliza Lema mtu inabidi kwanza upitie Mirembe madaktari wakuhakikishie kuwa kweli akili huna na wakupe cheti cha uthibitisho kuwa hazimo ndipo uende kumsikiliza Lema
Mwenye akili hawezi msikiliza Lema