Godbless Lema: Makamu wa Rais ni Rais mtarajiwa, CCM amueni kwa busara

Mmoja ya hawa anafaa kuwa VP
1.Asha rose Migiro
2.Ndalichako
3.Mtaka
4.Aggry Mwanry atatusaulisha magumu kwa kutuchekesha
 
Angechanganya upinzani Ingekuwa poa Sana tupate mseto
 
majaliwa ndio makamu wa rais tanzania mtake msitake liwe na liwalo
 
Chukua dole gumba lako lifutike kwenye 0 yako tanua hiyo barabara ili badae tukubamize.
ubongo wako hauna oxygen.........
 
Kama hujui hata tofauti ya vyama na serikali, na kwamba kazi ya wapinzani ni kuiongoza serikali kwa kuikosoa, na kwamba hakuna mtu ametaja ccm hapa, ninapata mashaka makubwa juu ya mambo mengi.
 
Moja kati ya mawazo ya kimasikini sana hi; matajiri hua hawajiulizi "who said" badala yake hua wanajiuliza, "what has been said" Masikini na wajinga wengi hujikita kwenye WHO badala ya WHAT!?
 
Makamu wa raisi kuwa raisi pia ni hatari kwa raisi aliyeko madarakani. Inaweza sababisha tamaa kwa marafiki wa makamu raisi, au kwa mfumo uliozingatiwa katika kumuweka makamu wa raisi, kufikiri vibaya hata kutoa uhai wa raisi aliyeko madarakani.
Nàmaanisha kwamba, kifo cha raisi kama alivyotamka Lema kimefungua ufahamu kwa wapenda madaraka kwamba kumbe raisi anaweza kufa na makamu akawa raisi! Na marafiki wa karibu na makamu wa raisi wakiwa peke yao wanaweza pia kuita mheshimiwa raisi, na kuanza kumtamanisha hicho cheo cha huu.
MWENYEZI MUNGU ATUEPUSHIE MBALI HAYA YASITOKEE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…