Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Kama mnakumbuka Makonda kujitokeza na kujisafisha kwa kusema kuwa hakuhusika katia kumpiga risasi Tundu Lissu, Godbless Lema leo amejibu mapigo.
Siku ya leo, Lema amesema kuwa ipo siku Makonda ataenda jela kwa kuhusika kumpiga risasi Tundu Lissu na kuongeza kuwa Makonda alijibu kwa jeuri sana pindi alivyoulizwa swali.
Soma pia: Makonda ajibu tuhuma za kumpiga risasi Tundu Lissu. Asema Lissu ana matatizo ya akili, aende Milembe
Lema aliongeza kuwa, kama Makonda anamuwinda, yeye hamuwezi na kwamba kama Makonda anajaribu kumuwinda basi ni bora amuue tu kwani akimkosa ni lazima atamwajibisha na ndio utakuwa mwisho wa maisha yake
=======================================================
Ni bora tu, Makonda angejimazia asingeongelea hiyo ishu ya Lissu.
Sasa hivi ni kama wapinzani ndo wamevalia njuga hili suala na wameamua kumvua nguo kabisa.
CHADEMA will drag Makonda to the mud!