LGE2024 Godbless Lema: Makonda ni mfungwa mtarajiwa, ni lazima ataenda jela. Hawezi kunifanya chochote, hawezi hata kuua panya nyumbani kwangu!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Wakuu,

Kama mnakumbuka Makonda kujitokeza na kujisafisha kwa kusema kuwa hakuhusika katia kumpiga risasi Tundu Lissu, Godbless Lema leo amejibu mapigo.

Siku ya leo, Lema amesema kuwa ipo siku Makonda ataenda jela kwa kuhusika kumpiga risasi Tundu Lissu na kuongeza kuwa Makonda alijibu kwa jeuri sana pindi alivyoulizwa swali.

Soma pia: Makonda ajibu tuhuma za kumpiga risasi Tundu Lissu. Asema Lissu ana matatizo ya akili, aende Milembe

Lema aliongeza kuwa, kama Makonda anamuwinda, yeye hamuwezi na kwamba kama Makonda anajaribu kumuwinda basi ni bora amuue tu kwani akimkosa ni lazima atamwajibisha na ndio utakuwa mwisho wa maisha yake

=======================================================

Ni bora tu, Makonda angejimazia asingeongelea hiyo ishu ya Lissu.

Sasa hivi ni kama wapinzani ndo wamevalia njuga hili suala na wameamua kumvua nguo kabisa.

CHADEMA will drag Makonda to the mud!

View attachment 3158073
Pusi kaondoka, utawaona tu panya wanavyokatiza sebuleni mchana kweupe.
 
Lengo la makonda limetimia,lengo lake kubwa lilikuwa afanye alichofanya ili attention igeukie kwake watu waache kuhoji kambo ya msingi kama kuenguliwa kwa wagombea pamoja na makando kando mengi yanayoendelea sasa,so amefanikiwa .
Ccm kazi yao wanapiga ngoma wachezaji wanajitokeza tuu
 
Mtu asiyeweza kuuwa hata panya nyumbani kwa Lema anawezaje kwenda kummiminia risasi Lisu?
Lema anajidai jasiri huku mke na watoto amewaficha wanaliwa na wazungu
 
Vipi wa kwako bosi, analiwa na Balthazar nini ? Maana nasikia jamaa wamemuachia sasa hivi yupo huru kitaa.
 
Makonda sehemu anapostahili kuwa ni jela akisubiria kunyongwa hadi afe
 
Wakuu,

Kama mnakumbuka Makonda kujitokeza na kujisafisha kwa kusema kuwa hakuhusika katia kumpiga risasi Tundu Lissu, Godbless Lema leo amejibu mapigo.

Siku ya leo, Lema amesema kuwa ipo siku Makonda ataenda jela kwa kuhusika kumpiga risasi Tundu Lissu na kuongeza kuwa Makonda alijibu kwa jeuri sana pindi alivyoulizwa swali.

Soma pia: Makonda ajibu tuhuma za kumpiga risasi Tundu Lissu. Asema Lissu ana matatizo ya akili, aende Milembe

Lema aliongeza kuwa, kama Makonda anamuwinda, yeye hamuwezi na kwamba kama Makonda anajaribu kumuwinda basi ni bora amuue tu kwani akimkosa ni lazima atamwajibisha na ndio utakuwa mwisho wa maisha yake

=======================================================

Ni bora tu, Makonda angejimazia asingeongelea hiyo ishu ya Lissu.

Sasa hivi ni kama wapinzani ndo wamevalia njuga hili suala na wameamua kumvua nguo kabisa.

CHADEMA will drag Makonda to the mud!

View attachment 3158073
Kumekucha
 
Back
Top Bottom