Kama mnakumbuka Makonda kujitokeza na kujisafisha kwa kusema kuwa hakuhusika katia kumpiga risasi Tundu Lissu, Godbless Lema leo amejibu mapigo.
Siku ya leo, Lema amesema kuwa ipo siku Makonda ataenda jela kwa kuhusika kumpiga risasi Tundu Lissu na kuongeza kuwa Makonda alijibu kwa jeuri sana pindi alivyoulizwa swali.
Lema aliongeza kuwa, kama Makonda anamuwinda, yeye hamuwezi na kwamba kama Makonda anajaribu kumuwinda basi ni bora amuue tu kwani akimkosa ni lazima atamwajibisha na ndio utakuwa mwisho wa maisha yake

Ni bora tu, Makonda angejimazia asingeongelea hiyo ishu ya Lissu. Sasa hivi ni kama wapinzani ndo wamevalia njuga hili suala na wameamua kumvua nguo kabisa.
Lema nabii wa miaka hii mtu ninaye mkubali sana sana sana mnooooooo lema una jeshi kubwa mno sio arusha tu hata huku mikoani na hata sisi diaspora nakumbuka ulivyokuja canada.

Lengo la makonda limetimia,lengo lake kubwa lilikuwa afanye alichofanya ili attention igeukie kwake watu waache kuhoji kambo ya msingi kama kuenguliwa kwa wagombea pamoja na makando kando mengi yanayoendelea sasa,so amefanikiwa .