LGE2024 Godbless Lema: Makonda ni mfungwa mtarajiwa, ni lazima ataenda jela. Hawezi kunifanya chochote, hawezi hata kuua panya nyumbani kwangu!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Pusi kaondoka, utawaona tu panya wanavyokatiza sebuleni mchana kweupe.
 
Lengo la makonda limetimia,lengo lake kubwa lilikuwa afanye alichofanya ili attention igeukie kwake watu waache kuhoji kambo ya msingi kama kuenguliwa kwa wagombea pamoja na makando kando mengi yanayoendelea sasa,so amefanikiwa .
Ccm kazi yao wanapiga ngoma wachezaji wanajitokeza tuu
 
Mtu asiyeweza kuuwa hata panya nyumbani kwa Lema anawezaje kwenda kummiminia risasi Lisu?
Lema anajidai jasiri huku mke na watoto amewaficha wanaliwa na wazungu
 
Wewe punguani mwendawazimu huna uwezo wa kujua aliyewehuka. Waache wenye akili timamu wajadili hoja
Mkuu tatizo la afya ya akili linatibika waone wataalam
 
Mtu asiyeweza kuuwa hata panya nyumbani kwa Lema anawezaje kwenda kummiminia risasi Lisu?
Lema anajidai jasiri huku mke na watoto amewaficha wanaliwa na wazungu
Vipi wa kwako bosi, analiwa na Balthazar nini ? Maana nasikia jamaa wamemuachia sasa hivi yupo huru kitaa.
 
Makonda sehemu anapostahili kuwa ni jela akisubiria kunyongwa hadi afe
 
Kumekucha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…