Godbless Lema: Mgombea wetu wa udiwani atishiwa kuuawa baada ya kukataa kupokea rushwa ya shilingi milioni tano ili ajitoe

Godbless Lema: Mgombea wetu wa udiwani atishiwa kuuawa baada ya kukataa kupokea rushwa ya shilingi milioni tano ili ajitoe

Hizi ni drama za Chadema Mkuu. Hapo hakuna lolote wanatafuta kiki tu. Mgombea akatae milioni 5 wakati fedha tu ya kampeni, ukute hana.
Halafu hawamtaji aliyetaka kumpa hizo mil 5 alipokataa akataka kumuua.
Mimi naona wameanza kujiuza kabla ya uchaguzi.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Kwa asiyemjua Lemma anaweza kuamini sasa hayo maneno ya kutunga tu kaamua tu aandike naye twitter ili kuweka watu attention hakuna kitu kama hicho anaushahidi gani wakuweka wazi tuhuma zake aache ujinga anaweweseka jimbo linaenda kwa Gambo
 
Kama ccm ni hovyo hovyo na wananchi hamionyeshi kukerwa na huo uhovyo hovyo wa ccm walau mkachukua hatua wapinzani watafanyaje ?

Kwanza wapinzani kwa wanayoyafanya wanajitahidi sana unafikiri wamekwepa mitego ya kuuawa mara ngapi ?

Vyombo vya usalama vinaposhiriki kuteka wagombea wa upinzani wasirudishe form na wananchi tuko kimya tunataka wafanye kipi zaidi ndiyo tujue kuna haki zetu wanazipigania ?

Mfano mdogo tu. Walichukua fomu lini?
Wamekaa nazo mpaka sasa wanaanza kusakwa kama panzi! Je, wamejiseminisha jinsi ya kuzijaza kwa ufasaha?
Haya, wanashindwa nini kuunganisha nguvu ili kuibwaga ccm!

Je, wakibwaga kwa kuchakachuliwa wataishia kulia lia kama wanavyojua kujiliza?
Waambie wacheze hizi gemu kwa akili waache uji uji!

Brothera yawezekana mimi kama mimi sina cha kukwambia lakini ukituliza akili utaelewa "pwenti" zangu!
 
Bado kidogo mtasema ameuawa. Ile juzi mkasema ametekwa kumbe anakula bata na hawara zake.
 
Kila kitu kina wanaokisemea au kukishinikiza... Mimi niliwashauri nini cha kufanya...
Anyway; njia pekee walobaki nayo ni kuingia barabarani... Hakuna risasi zitatua sote...!!!
Unapaswa kusema tuingie barabarani siyo kusema waingie barabarani.

Tume ya uchaguzi na jeshi la polisi ndiyo linaratibu kuvuruga uchaguzi na sisi wananchi tupo tu kama hatuna sababu ya kuzuia huu uhalifu.

Kama watu wanatoa fomu feki, wanatrmper fomu za wagombea na wakati mwingine wanakimbia ofisi ili wasichukue fomu za wapinzani au wanaratibu utekaji wa wagombea huu ni uhuni ambao haukubaliki katika jamii iliyostaarabika na ili tuukomeshe lazima wananchi tuwaunge mkono hao wanafanyiwa huu ushenzi.
 
Chadema ni wanafiki wakubwa, Sera za kutekana,kutishiwa zimeshapitwa na wakati
Wala sikushangai wewe bali mwenyekiti na mgombea wenu kwani amesema hawezi kuingia ulingoni kama ilivyokuwa 2015. Anahitaji kupitishwa na tume eti bila kupingwa kama ilivyokuwa kwenye chama chake. Mbinu zote ziko wazi. Hofu ya CCM kwa sasa ni je Jumuiya za Kimataifa watawachukuliaje?? Wako wanaosema potelea mbali na wako wanaosema tutafuteni mbinu nyingine kwani hatujui ni nani hasa yuko nyuma ya Mh Lissu
 
Huu mwaka haupita bila nchi hii kuandika historia kama tulivyoona katika mataifa mengine.

Na yule aliejiapiza kuona upinzani unakufa na ambae anajifanya yeye ni mtu wa Mungu, ajue tu yeye ndio atabeba lawama zote.
Ni wananchi wangapi wanaoingia jf na twitter mpaka wapanik kufanya upuuzi wanao tamani kuuona wanasiasa pinzani?tunaoingia mtandaoni ni thelusi tu ya wananchi wote..na wale wasioingia kama 75% walisha gundua upinzani huu ni usanii tu,mimi nafanya kazi hapa Arusha na ni mnywa kahawa vijiweni sana,nasikia kauli za wananchi wengi zinazo mponda Lema na kuchoshwa naye,na hapa ndiyo ngome ya upinzani...watakatizia wapi hawa?hata wao wanajua ila wanatengeneza matukio tu ili kujikosha kwa wananchi
 
Subiri utaona... Imani kidogo mliyopewa ikiisha wananchi wenyewe wataingia barabarani...
Mnaaminiwa alafu mnacheza ngoma za ccm... Shame on you...x4
Ngoja ipi tunayocheza ?

Hivi unajua tunajitoa kiasi gani kuwapigania watanzania ?
 
Mfano mdogo tu... walichukua fomu lini...?
Wamekaa nazo mpaka sasa wanaanza kusakwa kama panzi...!! Je, wamejiseminisha jinsi ya kuzijaza kwa ufasaha...??
Haya, wanashindwa nini kuunganisha nguvu ili kuibwaga ccm...!!
Je, wakibwaga kwa kuchakachuliwa wataishia kulia lia kama wanavyojua kujiliza...??
Waambie wacheze hizi gemu kwa akili waache uji uji...!!
Brothera yawezekana mimi kama mimi sina cha kukwambia lakini ukituliza akili utaelewa "pwenti" zangu...!!
Unajua hatari za kuzirudisha fomu mapema ?

Ukirudisha fomu mapema ikawa tempered au ikachomwa moto unafanyaje ?

Kukosea kujaza fomu tangu lini kikawa kigezo cha kumuengua mgombea kwa kukosa vigezo ?

Kwanini makosa ya kujaza fomu yafanywe na wapinzani pekee wakati ccm na wao wanatoka kwenye jamii hiyo hiyo ?

Tuache excuse zisizo na tija tume ndiyo inayoshiriki kuvuruga uchaguzi hakuna jingine.

Tume inaposhiriki kufanya uhuni kwenye uchaguzi maana yake hakuna uchaguzi hapo kwanini wananchi tuwatwishe mizigo yote wapinzani wakati haki ya kuchagua viongozi tunaowataka ni ya wananchi siyo ya wapinzani tu ?
 
Unapaswa kusema tuingie barabarani siyo kusema waingie barabarani.

Tume ya uchaguzi na jeshi la polisi ndiyo linaratibu kuvuruga uchaguzi na sisi wananchi tupo tu kama hatuna sababu ya kuzuia huu uhalifu.

Kama watu wanatoa fomu feki, wanatrmper fomu za wagombea na wakati mwingine wanakimbia ofisi ili wasichukue fomu za wapinzani au wanaratibu utekaji wa wagombea huu ni uhuni ambao haukubaliki katika jamii iliyostaarabika na ili tuukomeshe lazima wananchi tuwaunge mkono hao wanafanyiwa huu ushenzi.

Hivi unategemea mwananchi aingie barabarani ikiwa viongozi wa upinzani wao wanaichukulia poa poa tu...!! Brother ebu kuwa very realistic japo kidogo...!!
Yaani hadi hapa walahu wengi wanasubiri muongozo kutoka kwa TAL...!!
Ngoja tuone atakavyotoa hamasa kwa umma...!!
Huu ugomvi siku nyingi sana mlitakiwa kuuchonganisha vizuri Kati ya ccm, polisi, serikali dhidi ya wananchi...!! Mmepewa fursa nyingine... Itumieni...
 
KWA ASIYEMJUA LEMMA ANAWEZA KUAMINI SASA HAYO MANENO YA KUTUNGA TU KAAMUA TU AANDIKE NAYE TWITER ILI KUWEKA WATU ATTENTION HAKUNA KITU KAMA HICHO ANAUSHAHIDI GANI WAKUWEKA WAZI TUHUMA ZAKE AACHE UJINGA ANAWEWESEKA JIMBO LINAENDA KWA GAMBO
Mkuu muombe Gambo ukupeleke ukajifunze kwanza kuandika kabla ya kukuleta humu kumtetea.
 
Chadema bwana. Kila siku utasikia "Wanachokitafuta watakipata" unaenda mwaka wa 5 huu.
 
Hivi unategemea mwananchi aingie barabarani ikiwa viongozi wa upinzani wao wanaichukulia poa poa tu...!! Brother ebu kuwa very realistic japo kidogo...!!
Yaani hadi hapa walahu wengi wanasubiri muongozo kutoka kwa TAL...!!
Ngoja tuone atakavyotoa hamasa kwa umma...!!
Huu ugomvi siku nyingi sana mlitakiwa kuuchonganisha vizuri Kati ya ccm, polisi, serikali dhidi ya wananchi...!! Mmepewa fursa nyingine... Itumieni...
Atleast 2010-2015 kulikuwa na mwelekeo wa vyama kupambana kwa hoja na tume ilionyesha impartiality walau kidogo.

Wapinzani by that time hawakuwa tayari kumwaga damu za watanzania kwa kutafuta madaraka tu.

Lakini sasa utawala ndiyo unaoshiriki kumwaga damu hivyo suala la kutafuta madaraka kwa box la kura ndani ya utawala huu is next to nothing.

Hivyo suala la kuchonganisha dola na wananchi liko wazi kwanza dola haiungwi mkono na wananchi tena bali inaishi kwa mabavu.
 
Wewe mbona unajitoa as if wewe siyo mtanzania?
 
Unajua hatari za kuzirudisha fomu mapema ?

Ukirudisha fomu mapema ikawa tempered au ikachomwa moto unafanyaje ?

Kukosea kujaza fomu tangu lini kikawa kigezo cha kumuengua mgombea kwa kukosa vigezo ?

Kwanini makosa ya kujaza fomu yafanywe na wapinzani pekee wakati ccm na wao wanatoka kwenye jamii hiyo hiyo ?

Tuache excuse zisizo na tija tume ndiyo inayoshiriki kuvuruga uchaguzi hakuna jingine.

Tume inaposhiriki kufanya uhuni kwenye uchaguzi maana yake hakuna uchaguzi hapo kwanini wananchi tuwatwishe mizigo yote wapinzani wakati haki ya kuchagua viongozi tunaowataka ni ya wananchi siyo ya wapinzani tu ?

Mkuu nilianza kwa kukuonesha umuhimu wa Tume Huru... Ukanidiss!
Haya yote unayolalamikia leo dawa yake ni Tume Huru... Na ndo maana tulianza kuwahimiza toka kitambo sana!!
Upinzani mlitakiwa kuteka na kuunganisha nguvu za wananchi ziwe nyuma yenu... (Au hata ziwe mbele yenu)!!
Naona mnakata tamaa mapema sana...!!!
Mkishindwa mapambano ipo siku wananchi watafanya yao na watajiongoza wenyewe... Ebo...!!
Yaani nyie kazi yenu kujiona waheshimiwa au mnaweza sanaaa... Ukweli ni kuwa ili muweze mnapaswa kushirikiana wenyewe kwa wenyewe... Na kushirikishana na wananchi...!!
Siku njema!
 
Binafsi nimeshachoshwa na lialia za Chadema, hivi najiuliza wale vijana wao waliowafundisha ukakamavu wako wapi? Huu si ndio muda wa jino kwa jino?

Maana nawakumbuka vijana wa Cuf ngangari kule Pemba walikata mtu kichwa kikatenganishwa na kiwiliwili ndio walianza kuheshimiwa.
Wameshafanya yao huko UKARA Ukerewe, kuna mmoja katangulizwa akapumzike kwa amani
 
Atleast 2010-2015 kulikuwa na mwelekeo wa vyama kupambana kwa hoja na tume ilionyesha impartiality walau kidogo.

Wapinzani by that time hawakuwa tayari kumwaga damu za watanzania kwa kutafuta madaraka tu.

Lakini sasa utawala ndiyo unaoshiriki kumwaga damu hivyo suala la kutafuta madaraka kwa box la kura ndani ya utawala huu is next to nothing.

Hivyo suala la kuchonganisha dola na wananchi liko wazi kwanza dola haiungwi mkono na wananchi tena bali inaishi kwa mabavu.

Usinikumbushe ya 2015... Ushindi ulipatikana asubuhi kabisa yule EL akauza mezani...
Bora mwaka huu kuna jembe mfia chama... chuma cha pua... Yule jasusi mbobevu aka kipenyo anatakiwa aunge juhudi za TAL...
 
Mkuu nilianza kwa kukuonesha umuhimu wa Tume Huru... Ukanidiss!
Haya yote unayolalamikia leo dawa yake ni Tume Huru... Na ndo maana tulianza kuwahimiza toka kitambo sana!!
Upinzani mlitakiwa kuteka na kuunganisha nguvu za wananchi ziwe nyuma yenu... (Au hata ziwe mbele yenu)!!
Naona mnakata tamaa mapema sana...!!!
Mkishindwa mapambano ipo siku wananchi watafanya yao na watajiongoza wenyewe... Ebo...!!
Yaani nyie kazi yenu kujiona waheshimiwa au mnaweza sanaaa... Ukweli ni kuwa ili muweze mnapaswa kushirikiana wenyewe kwa wenyewe... Na kushirikishana na wananchi...!!
Siku njema!
Kwanza hatujakata tamaa na haitatokea tukakata tamaa.

Pili tume huru ya uchaguzi ni hitaji la watanzania wote.

Tatu wapinzani tunatumia kila fursa kudai tume huru ya uchaguzi .

Nne hatuwezi kususia uchaguzi itakuwa political suicide kwa demokrasia yetu ni lazima tuende kwenye uchaguzi ili wananchi waendelee kujaa hasira wafikie point of no return.
 
Back
Top Bottom