darubin ya mbao
JF-Expert Member
- Aug 3, 2016
- 2,863
- 6,041
Kuna uzi upo humu huko ukara mtekaji mmoja ameuwawa akijaribu kumteka mgombea udiwani kwa ticket ya chademaBinafsi nimeshachoshwa na lialia za Chadema, hivi najiuliza wale vijana wao waliowafundisha ukakamavu wako wapi? Huu si ndio muda wa jino kwa jino?
Maana nawakumbuka vijana wa Cuf ngangari kule Pemba walikata mtu kichwa kikatenganishwa na kiwiliwili ndio walianza kuheshimiwa.