Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Fedha ya chama hicho Godbless Lema ameeleza kuwa mkakati wa Tone Tone ni mpango wa kuchangia fedha kwa chama kwa kutumia mifumo ya kidigitali ambayo utamuwezesha mtu yeyuote kuchangia kwa kutumia mitandao ya simu na malipo ya kurudia rudia.
Lema ameeleza kuwa kupitia tone tone mtu yeyote ataweza kutoa fedha kidogo aliyonayo na pale zitapounganishwa zitajaza na kufikisha kiasi ambacho kitakiwezesha chama kuweza kuendesha mikakati yake.
Mtanzania atakayetaka kuichangia CHADEMA atakuwa na matatizo makubwa sana kichwani mwake. Ni bora pesa hizo mtu unayejitambua uwapelekee yatima na wajane huko au watu wenye mahitaji maalumu .
Kwa sababu CHADEMA wamekuwa watu wa kuomba michango miaka na miaka lakini matokeo ya michango hiyo huwa ni giza totoro. Chama kinashindwa hata kulipia kodi ya ofisi huku mikoani au hata kujenga tu ofisi za chama.
Kwa sasa chama kinapokea Riziki ya takribani Million 107. Lakini kilipewa kwa mkupuo zaidi ga Billion 2.7 kama Ruzuku. Pesa zote haieleweki zimekwenda wapi na zimefanya shughuli gani. Ni aibu mpaka leo chama kimeshindwa kuanzisha hata Kituo cha redio au Tv . Matokeo yake tuliona akina lissu waking'ang'ania kwenye Tv za watu za Wasafi FM eti wanataka kufanyiwa mahojiano.
Chama hakina kitega uchumi cha aina yoyote ile .yaani hata biashara ya kuuza sindano tu nguo CHADEMA imeshindwa kubuni.
Sasa michango ndio muarobaini wa shida za CHADEMA? Ndio chanzo cha mapato? Ndio njia ya kukifanya chama kujitegemee? Ndio akili za viongozi wa CHADEMA zilipoishia hapo? Chama cha miaka zaidi ya 30 kinataka kujiendesha kwa michango? Hivi huu siyo udumavu wa akili kweli?

Chadema sio chama cha kibiashara ni chama cha siasa kinategemea mimi na wewe chawa kuunga mkono ili kisonge mbele ccm ilikwapua hizo rasilimali kutoka kwa wananchi ndio maana unasema kina vyanzo