Pre GE2025 Godbless Lema: Mkakati wa Tone Tone ni mpango wa kuchangia fedha kwa chama kwa kutumia mifumo ya kidigitali

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tone Tone hadi mafuriko
 
Nailed
 
Bado mnachanga hela😅😅😅
.hakuna majitu mapumbavu kama Nyumbu.
Swala ni aliyepo na aliyeondoka wote wezi tu matapeli.
Huyu wa sasa ana kesi ya ukimbizi huko alipo.
Huyo M kiti mstaafu anatengeneza deal mil 107.
90 milion pesa zitapigwa.
Muwe waelewa mkiambiwa mnadaiwa.
Ile office mpya ya Chandema Ni Nyumba ya Grace dada yake malyenge.alishafariki nafkiri.
Nyie endeleeni kuchanga mpk mshituke kumekucha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…