Godbless Lema msimpe nafasi ya kuongea na umma anawachomganisha na umma

Joined
Apr 15, 2025
Posts
71
Reaction score
38
Nimesikia kauli Moja ya Lema anasema kuhusu sadaka kwenye nyumba za ibada na michango ya CHADEMA.

Huyu jamaa hachuji mambo ya kuongea na hajui madhara yanayoweza kukifika chama chake kwa kauli zake.

Sijui ana tatizo Gani kichwani mwake. Aliwahi kusema ugali ni chakula Cha masikini akasahau ugali ndo chakula kikuu kwa Watanzania.

Ajirekebishe.
 
Lema ndio aina halisi ya Viongozi wa Chadema kimatendo

Wahuni, Dharau, Chuki na hata mariooo
 
Una mazazo duni sana
 
Alisema yeye wanae hawezi soma vyuo hapa Tanzani,Wanaogombea ubunge Arusha kama si yeye wote ni wajinga,na kauli ya kijinga kabisa anayotumiaga eti mimi ni mchagga๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ
 
Gentleman,
Acha aeleze pesa zilizochangwa kwenye kibakuli kule Songea nani anazo?๐Ÿ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ