Godbless Lema na wenzake anacheza michezo ya siasa za enzi za Lowassa wa Richmond?

Godbless Lema na wenzake anacheza michezo ya siasa za enzi za Lowassa wa Richmond?

Anachokifanya Lema na wenzake sasa kwa hivi kwa Mbowe ni sawa na kile walichokifanya CHADEMA enzi za Lowassa kumgeuza kuwa mbuzi wa kafara na kumuhusisha na kila ufisadi mkubwa nchini?
mbaya zaidi,
lema kawafungia wajumbe gest house huko tandika na buza, kawafungulia sasa hivi kawajaza kwenye costa had HQ eti wanataka vitambulisho zoezi ambalo limefungwa tangu saa10 jioni.

unadhani ana akili kweli huyu muungwana?🐒
 
Mbowe ni mjumbe wa ile Halmashauri ya kule Dodoma iliyopitisha majina jana, kwa hio CDM kukngozwa na Mbowe ni sawa kinaongozwa na CCM hakuna upinzani halisi ni kusifu na kuabudu ndio maana Mzee akasema "sasa hivi hakuna wa kumpinga labda watokee wachawi lakini wachawi wote wameshakufa..." sasa usikae ukabiuliza mimi nani mchawi mimi mchawi simjui
 
Lema ni mtu hopeless kabisa

Sijawah ona Watu wa Lema wajinga kama huyu...

Ogopa sana mwanaume anaesifia mke wake ila mahali
 
Team Mbowe na Wenje mnahakikisha kila silaha mnaitumia.

Mshashinda chaguzi njoeni mtaani mnadi sera zenu sasa.
 
Back
Top Bottom