Godbless Lema ndiye mwenyekiti ajaye wa CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Ingekuwa naweza kuwashauri na kushaurika…ningewashauri Uenyekiti apewe Joseph Mbilinyi…Jamaa hana shule kubwa ila ana upeo mkubwa sana wa mambo na hata akizungumza utajua hilo

Pia ana ushawishi mkubwa sana ila najua hawezi kupewa Uenykiti kwa kuwa 'haeleweki eleweki' kwa wenye chama
 
Hiki ni chama cha watu wa moshi na arusha, aisee wakishika nchi hawa kila sekta itakaa wachaga. Yani naonaga tu vile wakipata chance wanapachikana wao
 
Kuna haja ya jf kuchunguza member wake , huyu Makupa sidhani kama ni mzima , fuatilieni maandishi yake
 
Elizabet ni ndugu yako?
 
Kwa hiyo Zitto wa kigoma ndo ana sura ya utaifa? Kwani wachaga walikufanya kitu gani we dada mana nawajua wanabebeshaga mimba Sana halafu wanatelekeza
 
Jamani nipo Mimi kutoka Ukerewe😝😝
 
Kwa hiyo Zitto wa kigoma ndo ana sura ya utaifa? Kwani wachaga walikufanya kitu gani we dada mana nawajua wanabebeshaga mimba Sana halafu wanatelekeza
Nani dada? Mbona unamawazo mafupi sana? Nani kasema habari ya zito? Ongeza ufahamu.
 
Wanaccm mnataka kutuchagulia Mwenyekiti??🤣🤣🤣🤣
 
FAKE NEWS
kudadadek CHADEMA inasumbua ma medula oblamngata ya watu.Anyways niwatakie jumapili njema na ukilewa dont drive please.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hakuna cha fake News hapa,mradi wa LEMA kuw mwenyekiti unasukwa kwa ustadi mkubwa na kundi Mbowe kuhakikisha ya kwamba uwenyekiti anamkabidhi binamu yake
 
Mkuu hifadhi huu Uzi ,subiri tuone mwakani 2023,hutaamini
sasa Chadema ikichagua mwenyekiti mbovu si itakufa na ikifa si ndio furaha yenu nyie wanaccm wazee wamatunguli na mitulinga??
 
Unajua sasa hivi kuna maneno kuwa chama ni cha kikabila sasa ukimpa tena wa kaskazini chama kitakufa.Ndio maana Mtei alimuachia Bob Makani.
Halina ubishi mkuu ,hiki chama ni cha kikabila mnoo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…