Pre GE2025 Godbless Lema: Niliambiwa na Boniface Jacob (Boni Yai) kuwa Wenje ni Project ya serikali

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
15,101
Reaction score
56,054
Leo Ndugu Lema kafunguka mengi sana kuhusu hali ya kisiasa nchini. Miongoni mwa aliyoyazungumza leo ni kuwa katika watu hatari kwa mustakbali wa CHADEMA ni Wenje.

Amesema kipindi Wenje kachukua fomu ya umakamu mwenyenyekiti alijaribu kumconsult Wenje kuhusu jambo hilo na kumshauri asitishe press conference yake aliyokuwa ameipanga kutangaza jambo hilo akihofia kuwa upepo wa kisiasa kwa wakati huo haukuwa mzuri. Alipojaribu kupigia simu Mbowe ili amshauri Wenje asitishe press hiyo, Mbowe akampiga danadana, alipompigia Boni Yai ili naye amshauri Mbowe aexert influence yake kwa Mbowe kutojana na ukaribu wao wa siku hizi Boni Yai akasema kuwa Wenje ni project ya serikali.

Wakati huohuo Lema akasema kuwa ulikuwepo mpango mkakati wa kuondoa Icons na watu influential kutoka ktk ranks za uongozi ndani ya chama. Miongini mwa walengwa walikuwa ni pamoja na Heche, Yeye, Msigwa na Lissu.
 
Wanawatoa watu hao wanaweka watu wa serikali. Hapo si wanakiua chama kabisa.

Kitakuwa chama cha kupokea maagizo kutoka kwa Abdul na Mama Abdul.
Watageuka kuwa kama NCCR na TLP , even CUF when walipofanikiwa kupenyeza watu wao. Wamefanya hiv kwenye taasis nyingi si tu za siasa, lengo ni kudhoofisha na ku control
 
akili za kuambiwa changanya na zako lema,

kiburi na kukariri mambo kimekufanya ukataliwe arusha :HAhaa:
 
Watageuka kuwa kama NCCR na TLP , even CUF when walipofanikiwa kupenyeza watu wao. Wamefanya hiv kwenye taasis nyingi si tu za siasa, lengo ni kudhoofisha na ku control
Tanzania inahitaji chama cha upinzani serious. Sio chama B cha CCM.

Lissu, Heche, Lema, wanajali maslahi ya nchi zaidi ya Mbowe, Sugu, Wenje, Boni yai.
 
Leo Ndugu Lema kafunguka mengi sana kuhusu hali ya kisiasa nchini. Miongoni mwa aliyoyazungumza leo ni kuwa katika watu hatari kwa mustakbali wa CHADEMA ni Wenje.

Amesema kipindi Wenje kachukua fomu ya umakamu mwenyenyekiti alijaribu kumconsult Wenje kuhusu jambo hilo na kumshauri asitishe press conference yake aliyokuwa ameipanga kutangaza jambo hilo akihofia kuwa upepo wa kisiasa kwa wakati huo haukuwa mzuri. Alipojaribu kupigia simu Mbowe ili amshauri Wenje asitishe press hiyo, Mbowe akampiga danadana, alipompigia Boni Yai ili naye amshauri Mbowe aexert influence yake kwa Mbowe kutojana na ukaribu wao wa siku hizi Boni Yai akasema kuwa Wenje ni project ya serikali.

Wakati huohuo Lema akasema kuwa ulikuwepo mpango mkakati wa kuondoa Icons na watu influential kutoka ktk ranks za uongozi ndani ya chama. Miongini mwa walengwa walikuwa ni pamoja na Heche, Yeye, Msigwa na Lissu.
Hebu tupe hiyo video au audio tusikilize wenyewe mkuu
 
Wanawatoa watu hao wanaweka watu wa serikali. Hapo si wanakiua chama kabisa.

Kitakuwa chama cha kupokea maagizo kutoka kwa Abdul na Mama Abdul.

Mbowe anataka kufanya "CONTROLLED DEMOLITION" ya CHADEMA. Hana interest tena na Chama kubeba harakati za ukombozi dhidi ya incompetency ya CCM, Sasa hivi anajali urithi wa wanae tu.

WANACHADEMA pigeni chini huyo Malicious Virilus ndani ya chama ili hicho chama kinusurike!
 
Watu wa Govt huko CDM mbona wengi tuuu kazi kujitolea hizi .....usipokuwa makini unanunulika dak 0 tuuu plus mikwaraà
 
Back
Top Bottom