Pre GE2025 Godbless Lema: Niliambiwa na Boniface Jacob (Boni Yai) kuwa Wenje ni Project ya serikali

Pre GE2025 Godbless Lema: Niliambiwa na Boniface Jacob (Boni Yai) kuwa Wenje ni Project ya serikali

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wananishangazaga hapo tu wanapotaja mpk chanzo hbr alipoipata!! " ........ Niliambiwa na ......"😂😂
Sasa wasipotaja ushahidi unakuaje? Inatakiwa wataje na chanzo kisha chanzo kije kukanusha. Au kikashtak. Hii ya kusema nilisikia nliambiwa na mtu ambaye siwezi mtaja....ni utapeli.
 
Amegombea kitu gani na kukataliwa? Machawa mnawaza ujinga tu
Hahaaa. Lema kashajipotezea kila. Ubunge hayumo, uongozi hayumo, kabaki baking tu
kwani kila mtu lazima awe kiongozi?
eti leo chawa wa ccm ndio wapiga debe wa sultani Mbowe
akili za kuambiwa changanya na zako lema,

kiburi na kukariri mambo kimekufanya ukataliwe arusha :HAhaa:
 
Hu
Leo Ndugu Lema kafunguka mengi sana kuhusu hali ya kisiasa nchini. Miongoni mwa aliyoyazungumza leo ni kuwa katika watu hatari kwa mustakbali wa CHADEMA ni Wenje.

Amesema kipindi Wenje kachukua fomu ya umakamu mwenyenyekiti alijaribu kumconsult Wenje kuhusu jambo hilo na kumshauri asitishe press conference yake aliyokuwa ameipanga kutangaza jambo hilo akihofia kuwa upepo wa kisiasa kwa wakati huo haukuwa mzuri. Alipojaribu kupigia simu Mbowe ili amshauri Wenje asitishe press hiyo, Mbowe akampiga danadana, alipompigia Boni Yai ili naye amshauri Mbowe aexert influence yake kwa Mbowe kutojana na ukaribu wao wa siku hizi Boni Yai akasema kuwa Wenje ni project ya serikali.

Wakati huohuo Lema akasema kuwa ulikuwepo mpango mkakati wa kuondoa Icons na watu influential kutoka ktk ranks za uongozi ndani ya chama. Miongini mwa walengwa walikuwa ni pamoja na Heche, Yeye, Msigwa na Lissu.
Lema unaongea bila ushahidi
 
Kama Lema alivyosema haiingii akilini Benson Kigaila na Salum Mwalimu wake zao ni wabunge waliofukuzwa na kamati kuu.

Katika kamati kuu wanataka kuwaondoa wote wenye misimamo ili covid 19 warudishwe, CCM isipate upinzani wowote wa maana. Wasimamizi wa chaguzi ndio hao wawili wenye maslahi na wake zao.
 
Watageuka kuwa kama NCCR na TLP , even CUF when walipofanikiwa kupenyeza watu wao. Wamefanya hiv kwenye taasis nyingi si tu za siasa, lengo ni kudhoofisha na ku control
Ni wakati wa CHAUMA sasa
 
Sasa wasipotaja ushahidi unakuaje? Inatakiwa wataje na chanzo kisha chanzo kije kukanusha. Au kikashtak. Hii ya kusema nilisikia nliambiwa na mtu ambaye siwezi mtaja....ni utapeli.
Kama wa Lisu wa kusema aliambiwa na marehemu. Au kipimo hicho hakimhusu Lisu?
 
Amegombea kitu gani na kukataliwa? Machawa mnawaza ujinga tu

kwani kila mtu lazima awe kiongozi?
eti leo chawa wa ccm ndio wapiga debe wa sultani Mbowe
agombea wapi wakati alianza kukataliwa kitambo sana akiwa kiongozi wa kuchaguliwa :MODS:
 
Back
Top Bottom