Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe anapambana na watoto wa mjini haswaa.Leo Ndugu Lema kafunguka mengi sana kuhusu hali ya kisiasa nchini. Miongoni mwa aliyoyazungumza leo ni kuwa katika watu hatari kwa mustakbali wa CHADEMA ni Wenje.
Amesema kipindi Wenje kachukua fomu ya umakamu mwenyenyekiti alijaribu kumconsult Wenje kuhusu jambo hilo na kumshauri asitishe press conference yake aliyokuwa ameipanga kutangaza jambo hilo akihofia kuwa upepo wa kisiasa kwa wakati huo haukuwa mzuri. Alipojaribu kupigia simu Mbowe ili amshauri Wenje asitishe press hiyo, Mbowe akampiga danadana, alipompigia Boni Yai ili naye amshauri Mbowe aexert influence yake kwa Mbowe kutojana na ukaribu wao wa siku hizi Boni Yai akasema kuwa Wenje ni project ya serikali.
Wakati huohuo Lema akasema kuwa ulikuwepo mpango mkakati wa kuondoa Icons na watu influential kutoka ktk ranks za uongozi ndani ya chama. Miongini mwa walengwa walikuwa ni pamoja na Heche, Yeye, Msigwa na Lissu.
Tatizo liko wapi TL kulipwa stahiki zake, Abdul, Wenje na mama Abdul walitaka wampe pesa, rushwa kwa masharti.Wanajali maslahi ya nchi wapi wewe?, kila siku TL analilia hela ya matibabu yake, miaka yote wamefanya kitu gani kwenye jamii?, zaidi ya kulipana hardship allowance
DuuhLeo Ndugu Lema kafunguka mengi sana kuhusu hali ya kisiasa nchini. Miongoni mwa aliyoyazungumza leo ni kuwa katika watu hatari kwa mustakbali wa CHADEMA ni Wenje.
Amesema kipindi Wenje kachukua fomu ya umakamu mwenyenyekiti alijaribu kumconsult Wenje kuhusu jambo hilo na kumshauri asitishe press conference yake aliyokuwa ameipanga kutangaza jambo hilo akihofia kuwa upepo wa kisiasa kwa wakati huo haukuwa mzuri. Alipojaribu kupigia simu Mbowe ili amshauri Wenje asitishe press hiyo, Mbowe akampiga danadana, alipompigia Boni Yai ili naye amshauri Mbowe aexert influence yake kwa Mbowe kutojana na ukaribu wao wa siku hizi Boni Yai akasema kuwa Wenje ni project ya serikali.
Wakati huohuo Lema akasema kuwa ulikuwepo mpango mkakati wa kuondoa Icons na watu influential kutoka ktk ranks za uongozi ndani ya chama. Miongini mwa walengwa walikuwa ni pamoja na Heche, Yeye, Msigwa na Lissu.
CHADEMA KWISHA HABARI YAKEMwamba anavuliwa nguo uchi wa mnyama
Ukimuangalia Msigwa, alienda kama hasira tu lakini Msigwa hawezi kuwa na raha huko.Kwa karati hii, Msigwa huko CCM,kupewa cheo au nafasi ni ndoto!
Kwa kuusema ukweliKama kummaliza Mbowe, Lema leo amefanikiwa.
Kwanini unajifanya kushangaa wakati jambo lipo dhahiri .Marehemu EL aliingiaje Chadema na kupewa ugombea Urais?Unafikiri ilikuwa bure?Wenje sio Project ya Serikali ni Project ya RUSHWA za CCM.
Tutaambia nini Wananchi wakati CHADEMA wenyewe tunakula RUSHWA?!
Nilikuwa nasahihisha, Wenje sio Project ya Serikali Wenje ni Project CCM.Kwanini unajifanya kushangaa wakati jambo lipo dhahiri .Marehemu EL aliingiaje Chadema na kupewa ugombea Urais?Unafikiri ilikuwa bure?
Walimtuma Wenje wwnzishe hilo fukutoMakala aliwaambia huko chadema kunakufukuto tukabisha sasa kwa hotuba ya lema leo imemaliza ubishi wote
Ona huyu nae Lema yupo Bongo mzeeNdo ujue Mbowe ni hatari, Lema ana zungumza haya akiwa Canada, kwa usalama wa maisha yake.