Pre GE2025 Godbless Lema: Niliambiwa na Boniface Jacob (Boni Yai) kuwa Wenje ni Project ya serikali

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Yeyote mwenye shaka kuwa Mbowe ni "Sweet talker" pandikizi jipya la CCM ndani ya upinzani basi asikilize tena speech ya Lema.
 
kwani boni yai ni project ya nani?
 
Umuhimu wa msigwa kwa lissu ni upi mkuu?

Ni kama alivyokua Kama alivyo Mbowe kwa serikali ya CCM.
ile ni antenna ya Lisu kule aliko .🤣🤣🤣🤣
Lisu ana bahati sana wote waliohamia CCM wanamkubali hivyo ni faida kubwa sana
 
Kama ni kweli, Boni naye ni walewale, sijawahi ona akisema wala kumkemea Wenje public, hata baada ya Wenje kujitambulisha kama supporter wa Mbowe kipindi hichi cha uchaguzi Boni hajaonyesha otherwise. Maoni yangu, yeye pia yuko compromised.
 
Projects za serikali zipo kila mahali. Na zinaiokoa sana Tanzania na mipango yake zilianza kabla ya yule Mr X wa kesi ya uhaini.

Mnapanga mipango mingi na mirefu kumbe kati yenu yupo ambaye ni mradi wa serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…