Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Mambo yanaendelea kuwa moto.
Godbless anasema kuwa tuhuma za kwamba yeye na Lissu walikuwa wanataka kumpindua Mbowe kupitia kampeni ya Join The Chain ni za uongo kwani Mbowe pia alihusika katika kampeni hiyo.
Lema anasema kuwa ni kweli yeye ndo alihusika kuanzishwa kwa kampeni na alikuwa ni Mwenyekiti lakini mara tu Mbowe alipotoka gerezani, aliachishwa kupokea updates kuhusu kampeni hiyo na Mbowe akajimilikisha
Lema anasema kuwa baada ya Mbowe kujimilikisha kampeni hiyo aliamua kujitoa.