kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,348
- 7,058
Hivi vijamaa ndouvipe serikali kweli? Chadema kinanafasi ya kugeuka chama cha wahuni na wavutabange kina mbowe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM ni chama kikubwa sana kimejenga nidhamu ya miaka na miaka tangu enzi za kina Sozigwa, Mwakawago, Ndejembi Baba, Kingunge na wakongwe wengi wanaoongoza chama wakiwa nyuma ya pazia.Hivi hii tabia ya kuogopa uchaguzi imeanza lini?
Na ccm mtawaomba wawapishe wamekaa sana?
Katiba yenu Chadema inasemaje?
Chama kilichosheheni Wasomi na wanasheria mnashindwa kusoma katiba yenu?
Ndio maana inashangaza Lisu kuropoka mitaani wakati yeye ndio mamlaka ya nidhamu ndani ya chama kwa mujibu wa katiba.
Tutashtakiwa MIGA.
Mbowe kakulia pale Bilicanas miaka ile ya madisco ya katikati ya jiji la Dar ni mjanja anayezeeka akiwa na mbinu zile zile za watoto wa mjini.Ila Mbowe ni mtu wa misheni. Kumbe namba ya kupokea hela zilibadilika wakaanza kupiga hela
Ila Mbowe ni mtu wa misheni. Kumbe namba ya kupokea hela zilibadilika wakaanza kupiga hela
Kabla ya tarehe 21 tutayasikia mengi sana. Hekima na busara inapungua hiki ni chama kinachoendelea kukua.Kwani hiyo kampeni ya Join the chain ilikuwa ni mpango binafsi wa viongozi na sio rasmi mpango wa Chama?
Yaani kiongozi anawezaje kujimilikisha mpango wa Chama?
Na kiongozi anawezaje kujitoa kwenye shughuli rasmi za chama?
SUre..hawa jamaa wanatofautiana kwa mengi+ visasi+ hasira+ kutokuaminiana, BUSARA ni KUTENGANA ..Vifua vya watu vilikuwa vimebeba mengi
Kwa mujibu wa katiba ya Chadema, Lisu kama makamu mwenyekiti ndio mamlaka ya nidhamu, mwenyekiti hausiki.CCM ni chama kikubwa sana kimejenga nidhamu ya miaka na miaka tangu enzi za kina Sozigwa, Mwakawago, Ndejembi Baba, Kingunge na wakongwe wengi wanaoongoza chama wakiwa nyuma ya pazia.
CHADEMA ndio kwanza kinaanza kujenga utamaduni wa kuandaa vijana wenye uwezo waje kuchukua nafasi ya wanasiasa wanaochoka kiumri na kiuongozi.
Bado sana CHADEMA.
Victor Kimesera mzee mmojakutoka Arusha, alikuwa member pale Gymkhana Club alikuwa na mke mzungu Mama mmoja mnene hivi.Kwa mujibu wa katiba ya Chadema, Lisu kama makamu mwenyekiti ndio mamlaka ya nidhamu, mwenyekiti hausiki.
Sasa mkuu wa nidhamu ndio hana nidhamu na mdomo wake hauna breki, unategemea utazalisha vijana wa aina gani?
Matokeo yake ndio haya leo vijana ambao hawajazaliwa bado Mbowe alipambana na wazee pale Masaki kwa Mzee Kimesera kuianzisha Chadema kwa siri kabla ya vyama vingi kuruhusiwa tena Mbowe alikuwa kama karani tu wa kuwaandalia makablasha wazee kina Mtei, Wasira etc, leo hawa watoto waliojaa hapa JF ndio wanamtukana Mbowe.
Haya ndio matunda na mafanikio ya uongozi wa Tundu Lisu.
Kumbe Wasia ni muasisi wa Chadema. Sikupata kujua hiloKwa mujibu wa katiba ya Chadema, Lisu kama makamu mwenyekiti ndio mamlaka ya nidhamu, mwenyekiti hausiki.
Sasa mkuu wa nidhamu ndio hana nidhamu na mdomo wake hauna breki, unategemea utazalisha vijana wa aina gani?
Matokeo yake ndio haya leo vijana ambao hawajazaliwa bado Mbowe alipambana na wazee pale Masaki kwa Mzee Kimesera kuianzisha Chadema kwa siri kabla ya vyama vingi kuruhusiwa tena Mbowe alikuwa kama karani tu wa kuwaandalia makablasha wazee kina Mtei, Wasira etc, leo hawa watoto waliojaa hapa JF ndio wanamtukana Mbowe.
Haya ndio matunda na mafanikio ya uongozi wa Tundu Lisu.
Mbowe hawezi kukaa pembeni Wala kutumia busara kwa Sababu anafuata maelekezo ya waliomtoa hela na sio vinginevyo na sio kwamba busara Hana Wala hajui anayoyafanya ni mambo hasi kwa CDM .Hiki chama kinaweza vuka hizi nyakati kikiwa na Nguvu sana au kikiwa kimedhorota...Mbowe ndio anaweza amua mustakabadhi wa hiki chama kwa kutumia busara ya kukaa pembeni.
NdiyoWewe una mavi kichwani, huyo Lisu amewaambia alikataliwa na kamati kuu?