Godbless Lema: Nilijitoa kwenye Join The Chain baada ya Mbowe kutoka gerezani na kuanza kujimilikisha hiyo kampeni

Lema, Msigwa na Lissu mlipanga Mapinduzi haramu kumpindua Mwenyekiti Mbowe wakati yupo gelezani hilo halina ubishi.
Wewe ni snich mzee - afu wachaga hawanaga tabia za hivyo.
Huyu ni Mmachame sio Mchaga
 
Kwani hiyo kampeni ya Join the chain ilikuwa ni mpango binafsi wa viongozi na sio rasmi mpango wa Chama?
Yaani kiongozi anawezaje kujimilikisha mpango wa Chama?
Na kiongozi anawezaje kujitoa kwenye shughuli rasmi za chama?
 
Maswali magumu haya.
 
Wewe una mavi kichwani, huyo Lisu amewaambia alikataliwa na kamati kuu?
 
😂 Mbowe anapigwa mbele na nyuma, kushoto na kulia, juu na chini 😂

Huyu mume wa Erythrocyte sidhani kama ataweza kupiga show vzr kipindi hiki cha uchaguzi
 
Mbowe si ndiyo mwenyekiti? Mbn CHADEMA ni jamii ya kambale? hakuna mkubwa, hakuna nidhamu. Ndiyo maana kwa mtindo huu CCM itatawala milele nchi hii
 
Mbowe si ndiyo mwenyekiti? Mbn CHADEMA ni jamii ya kambale? hakuna mkubwa, hakuna nidhamu. Ndiyo maana kwa mtindo huu CCM itatawala milele nchi hii
Kwa mujibu wa katiba ya Chadema mamlaka ya nidhamu iko chini ya Tundu Lisu.

Haya ni matunda ya Tundu Lisu.
 
Tuliaminishwa ayatollah khemenei kaguta nkurunzinza mbowe ni tajiri 😄😄😄

Kumbe mwanetu anaishi kwa hesabu kali kupitia siasa🤣🤣🤣
Mwanetu Mugabe imewekwa wazi huwa hatoi pesa yake mfukoni bali hukusanya kwa wadau na kuleta kwenye chama lakini akileta kwa chama anawakopesha msaada haha baadae anazichukua ruzuku ikija...huu sio ujanja ni wizi maana amechangisha kwa kivuli cha chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…