GODBLESS LEMA: Nimeondoka Tanzania ili niwe na amani ya moyo mimi na Familia yangu. Sitashiriki Uchaguzi wa leo wa kanda

asepe zake huko ccm ni yetu watz na samia ni wetu na serikali ni yetu wananchi aishie huko

Sharti mojawapo la ukimbizi ikiwemo ukimbizi wa Lema kanada hadhi yake ya ukimbizi haimruhusu kushiriki siasa active vinginevyo anafutiwa hadhi ya ukimbizi

Kaona kuliko agombee uongozi kanda ya kaskazini na apoteze hadhi ya ukimbizi na posho za ukimbizi kaona posho kubwa kuliko hilo cheo

Kuna makabila mtu akienda kujisaidia haja kubwa kichakani husingizia anaenda kukata kuni ndicho Lema alichofanya kwenye huo waraka wake
 
Kumbe ukimbizi wa kisiasa unalipa!
Sana tu mfano yeye Lema ukimbizi wake ni wa kuwa sponsored unafadhiliwa kuwa mkimbizi na mashirika au taasisi zenye pesa kuwa watajlkugharimia wao hela yake ndefu tofauti na wale waomba tu ukimbizi kwenye serikali husika

Kuwapata sio kazi rahisi lazima uwe na connection
 
Nimeelewa neno moja tu NO REFORM NO ELECTION kisha nimeelewa maudhui yoote ya waraka huu.

Twende na TAL🤣🤣🤣
Nilitaka kukuhukumu kwa kuangalia Avatar yako bila kuangalia content...sorry !
 
Maneno Hayo Ameyasema Aliyekuwa Kiongozi wa Kanda ya Kaskazini Mheshimiwa Godbless lema..
Baada ya Kuandila Barua Katika Ukurasa wa Twitter Yenye Messeji kali Sana na Ya Kuhuzunisha na Ikionyesha Kuna TATIZO KUBWA kwenye Chama..

NANUKUU:-

Amani Katibu wetu wa Kanda , naomba nisomee ujumbe huu kwa viongozi wenzangu katika mkutano huu wa Kanda ambao utaitimisha nafasi yangu kama Mkti wa Kanda leo hapa Arusha.

Waheshimiwa Viongozi Tanga , Manyara,Kilimanjaro na Arusha , ninasikitika kwamba sitaweza kuwa nanyi ktk mkutano wa leo muhimu sana ktk chama chetu Kanda ya Kaskazini. Nilisafiri kuja kumuona mke wangu mpendwa na watoto na kupumzisha akili yangu kidogo kwani niliona ninapaswa kufanya hivyo kwa ajili ya amani kubwa ya moyo wangu.

Leo mtachagua Kiongozi wa Kanda yetu ya Kaskazini na kama ningekuwepo ningepiga kura lakini bahati mbaya sitaweza kupiga kura wala kuwasikiliza lakini kama naweza kupiga kura kidgitali pls nitafurahi kufanya hivyo , hata hivyo ninakiri kuona na kusikia majina ya wagombea wote mliomba nafasi ktk uchaguzi huu , sina maoni yoyote kwa wakati huu , japo kuwa najua nani ningempa kura kama ningekuwa hapo na nani asingestahili kwa upande wangu.

Nimekuwa kwenye kazi ya harakati kwa miaka zaidi ya ishirini , sijawahi ku fake the struggle na niko commited very seriously , kwani nimezika na kuuguza rafiki zangu wengi kwa ajili ya wajibu mwema wa kupigania haki na ustawi wa Nchi yetu , hivyo najali sana uadilifu wa kazi hii , lakinj pia nimepigwa kwa ajili yake , nimekwenda Polisi na Mahabusu na mahakamani mara nyingi sana na pia kuishi ktk upweke na majonzi mara nyingi sana kwa ajili ya wajibu huu mkuu lakini sijawahi kujuta kwani naona ili ni kusudi muhimu ktk maisha yangu na yetu wote.

Nafahamu Mimi sio Malaika naelewa ninaweza kuwa nimewaumiza au kuwakwaza watu wengi miongoni mwenu lakini ninaweza kula kiapo kwa mauti ya familia yangu kuwa sijawahi hata siku moja kuwaza hila juu ya mmoja wenu zaidi ya kujali pengine ubora na mkakati ktk kuimarisha kazi hii muhimu ambapo wkt mwingine imeleta mtafaruku mkubwa miongoni mwetu.

Viongozi mtakao chaguliwa leo , lindeni sana nidhamu ya Kanda yetu , Mwenyekiti mwingine na Kiongozi yoyote wa ngazi yoyote asitukanwe wala kudhalishwa kwa maana matusi na dhihaka zinaua sana morali ya kuwajibika. Pengine ni udhaifu kukimbia changamoto lakini vile vile ni hekima kuwaonyesha rafiki zako na maadui zako kuwa Leadership is not a Title, ili sote tujue kwamba kazi yetu ni utumishi na sio prestige.

Ninawatakia kila la heri ktk uchaguzi wenu , mfanye kwa amani na upendo kila mtu ajue kuwa ashindani na shetani isipokuwa rafiki zetu miongoni mwetu.

Namalizia kwa kusema maazimio yetu kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ni “ No reforms No Election “Maana yake ni kuzikana nafsi zetu kwa ajili ya kesho bora , hivyo baai mnahitaji Kiongozi atakaye waongoza ktk wajibu huu mkuu .Mkiwa Arusha siku zote tambueni kuwa mna ndugu yenu ktk FIKRA na WAJIBU MWEMA.

Naomba nimalizie kwa kusema maneno Haya , Amani Golugwa wewe ni best Katibu na a very good humble brother , Mungu akubariki sana. Mungu atakuinua siku moja zaidi na zaidi.

#Godbless Lema..#X
Fanyeni hima mumchague Lisu Ili Sasa tuone kama uchaguzi Mkuu wa 2025 hautafanyika maana hapo inaweza kuwa ngekewa kubwa Kwa CCM
 
Kuna mambo yanamkwaza na bila shaka ni haya ya uchaguzi wa Mwenyekiti Taifa.

Kama ambavyo sisi hatukutarajia, ni wazi na yeye hakuyatarajia kuyasikia haya tunayoyasikia kutoka kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA kuhusu uchaguzi wa Mwenyekiti Taifa na yanayoendelea.
Acha uongo lema alitangaza mda sana kutokugombea nafasi ya kanda ya kaskazini
 
Ameona Mbowe anampotezea muda. Bora akabebe box kuliko kuhadaiwa na biashara-siasa ya Mbowe. Inauma sana mtu anapojitoa 100% kwenye mapambano kumbe kiongozi mkuu ni pandikizi la mnaye pambana naye. Hongera Lema kwa maamuzi magumu.
It's very painful indeed
 
Lema na Lisu wabinafsi sana kama jura hawapigiwi wao hawataki kupigia wengine

Lema angepiga kura basi kwanza ndio aondoke lakini kwa kuwa yeye sio mgombea kaona ujinga kaondoka zake anavizia 2025 ndio aibuke kutaka kura toka kwa wengine

Lisu pia uchaguzi wa serikali za mitaa hakujiandikisha kabisa wala kupiga kura apigie wengine sasa kaona yeye kagombea si kelele hizo za kutaka yeye apigiwe kura

Hawa watu wabinafsi mno Chadema shitukeni

Lisu mpigeni chini mapema mno kwenye sanduku la kura

Mtu gani huyo kazi kuvizia kushiriki kama yeye mpigiwa kura? Mpigeni chini
 
Maneno Hayo Ameyasema Aliyekuwa Kiongozi wa Kanda ya Kaskazini Mheshimiwa Godbless lema..
Baada ya Kuandila Barua Katika Ukurasa wa Twitter Yenye Messeji kali Sana na Ya Kuhuzunisha na Ikionyesha Kuna TATIZO KUBWA kwenye Chama..

NANUKUU:-

Amani Katibu wetu wa Kanda , naomba nisomee ujumbe huu kwa viongozi wenzangu katika mkutano huu wa Kanda ambao utaitimisha nafasi yangu kama Mkti wa Kanda leo hapa Arusha.

Waheshimiwa Viongozi Tanga , Manyara,Kilimanjaro na Arusha , ninasikitika kwamba sitaweza kuwa nanyi ktk mkutano wa leo muhimu sana ktk chama chetu Kanda ya Kaskazini. Nilisafiri kuja kumuona mke wangu mpendwa na watoto na kupumzisha akili yangu kidogo kwani niliona ninapaswa kufanya hivyo kwa ajili ya amani kubwa ya moyo wangu.

Leo mtachagua Kiongozi wa Kanda yetu ya Kaskazini na kama ningekuwepo ningepiga kura lakini bahati mbaya sitaweza kupiga kura wala kuwasikiliza lakini kama naweza kupiga kura kidgitali pls nitafurahi kufanya hivyo , hata hivyo ninakiri kuona na kusikia majina ya wagombea wote mliomba nafasi ktk uchaguzi huu , sina maoni yoyote kwa wakati huu , japo kuwa najua nani ningempa kura kama ningekuwa hapo na nani asingestahili kwa upande wangu.

Nimekuwa kwenye kazi ya harakati kwa miaka zaidi ya ishirini , sijawahi ku fake the struggle na niko commited very seriously , kwani nimezika na kuuguza rafiki zangu wengi kwa ajili ya wajibu mwema wa kupigania haki na ustawi wa Nchi yetu , hivyo najali sana uadilifu wa kazi hii , lakinj pia nimepigwa kwa ajili yake , nimekwenda Polisi na Mahabusu na mahakamani mara nyingi sana na pia kuishi ktk upweke na majonzi mara nyingi sana kwa ajili ya wajibu huu mkuu lakini sijawahi kujuta kwani naona ili ni kusudi muhimu ktk maisha yangu na yetu wote.

Nafahamu Mimi sio Malaika naelewa ninaweza kuwa nimewaumiza au kuwakwaza watu wengi miongoni mwenu lakini ninaweza kula kiapo kwa mauti ya familia yangu kuwa sijawahi hata siku moja kuwaza hila juu ya mmoja wenu zaidi ya kujali pengine ubora na mkakati ktk kuimarisha kazi hii muhimu ambapo wkt mwingine imeleta mtafaruku mkubwa miongoni mwetu.

Viongozi mtakao chaguliwa leo , lindeni sana nidhamu ya Kanda yetu , Mwenyekiti mwingine na Kiongozi yoyote wa ngazi yoyote asitukanwe wala kudhalishwa kwa maana matusi na dhihaka zinaua sana morali ya kuwajibika. Pengine ni udhaifu kukimbia changamoto lakini vile vile ni hekima kuwaonyesha rafiki zako na maadui zako kuwa Leadership is not a Title, ili sote tujue kwamba kazi yetu ni utumishi na sio prestige.

Ninawatakia kila la heri ktk uchaguzi wenu , mfanye kwa amani na upendo kila mtu ajue kuwa ashindani na shetani isipokuwa rafiki zetu miongoni mwetu.

Namalizia kwa kusema maazimio yetu kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ni “ No reforms No Election “Maana yake ni kuzikana nafsi zetu kwa ajili ya kesho bora , hivyo baai mnahitaji Kiongozi atakaye waongoza ktk wajibu huu mkuu .Mkiwa Arusha siku zote tambueni kuwa mna ndugu yenu ktk FIKRA na WAJIBU MWEMA.

Naomba nimalizie kwa kusema maneno Haya , Amani Golugwa wewe ni best Katibu na a very good humble brother , Mungu akubariki sana. Mungu atakuinua siku moja zaidi na zaidi.

View attachment 3180467View attachment 3180468View attachment 3180469

#Godbless Lema..#X
 
Attachments

  • 20241219_172147.jpg
    20241219_172147.jpg
    120.3 KB · Views: 1
GOOD TEAM WORK YA CCM IMEKABA, HAWAHEMI HAWAPUMUI, 😀😀😀
""LEMA asepa, asema toka Makonda aingie arusha kama mkuu wa mkoa chadema imekufa, amebainisha ni heri awache siasa na ashughulike na mambo mengine ya kumuingizia kipato halali ""
Chama kilichokufa lazima kimezikwa. Kisingeongelewa na wewe
 
Back
Top Bottom